Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
That's selfishnessiko hivi so far sijawai kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha naona wana shida tu. kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues. I will live my life. enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Vipi Baba yako na Mama yako wangekuwa wanafikiria unachowaza leo hii? Au ndio tukuite a "wasted sperm"?.iko hivi so far sijawai kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha naona wana shida tu. kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues. I will live my life. enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto aisee, yaani ile umeshuka home umepokelewa na ma-hug ya kutosha 🥰🥰 na nyimbo juuiko hivi so far sijawai kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha naona wana shida tu. kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues. I will live my life. enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Huwezi jua labda mwenzio, Katoa sadaka ya Uterus apate Mali za wazee wa kaziVitoto vilivyovitamu kuviona.....Daaah..... kuwa na watoto raha sana
Wapo wenye furaha....so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha
Hata hao wenye shida za kufa mtu bado wanawapenda watoto wao mpaka kuwa tayari kufanya kazi za hatari na aibu ili watoto wao wawe salama.Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto.
Ukizaa na una shida za kutosha ndio hutapenda watoto
Kama hataki asithubutu kupata, asituongezee ma mental case huku uraiani...Pata mtoto mmoja kama vipi! Si vyema kutokuwa na mtoto kabisa hasa kama si Mgumba.
Ingekua sawa tu kwasababu usingekuwepo.Vipi Baba yako na Mama yako wangekuwa wanafikiria unachowaza leo hii?
It's called making a choice...That's selfishness
Bado una akili za kitoto sana. Ukikua ndiyo utajua ulichokiandika ni a.k.a ya Young Africans Sport ClubIko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Ndio nashangaa mkuu Mimi furaha yangu ni watoto maana starehe nimefanya Sana, bila watoto ningeishi kwa sonona Sana. Huyu member ana laana.Vitoto vilivyovitamu kuviona.....Daaah..... kuwa na watoto raha sana