Mpaka kunguru anatamani kuwa na watoto na huwahangaikia pindi akiwapata.
So far kunguru kakuzidi akili
Dunia ina watu billion nane na umasikini ,unyonyaji na matatizo yanaongezeka kila kukicha kwa ujinga wa watu wachache kuzaa kama panya ,mbazalisha group kubwa la watumwa wakuwatumikia mabwanyenye 1% ambao ndio wanaongoza dunia ya sasa kiuchumi na kiuongozi .
Si kila mtu lazima azae , you can simply adopt one , kuna mabilioni ya watoto yatima , who care for them ? ,selfishness Tu , Kila mtu anawaza kuspread sperms zake bila kufikiri logically .
You are just a cog in a wheel , kunufaisha mabwanyenye wanaotawala dunia hii .
Unakuta jitu linazaa watoto halina means za kuhakikisha wanaishi maisha bora ,huu ni upunguani .
Binadamu tumeambiwa utashi ,too had kwamba wengi hatuutumii huo utashi wa kiakili , kufanya mambo kama hayawani .
Kuna mtu anaandika anasema hata kunguru wanazaaa , wtf ! ,Hiyo ni logic ya kulegitimize kuzaa ? ,Yaani benchmark yako kiutashi kama binadamu iwe kujifananisha na kunguru ?
Mtu anaandika eti mara Bible mara quran imesema hivi ,Wtf ! ,Unajua ni nani alileta hivyo vitabu na ili kumfaidisha nani ?
Common sense is no longer common amongst people .