Sitaki kupata watoto

Sitaki kupata watoto

Daah asee mi binafsi napenda watoto huwa napataga ma depression ,heart breaker ila nikifika home nasahau kila kitu ni kucheka tu ...mtoa mada usiogope majukumu
 
Maamuzi na hiyari ni yakooo, ishi maisha uyatakayoo.
 
World's one percent enjoys extravagant wealth ,power and priveledges more than the way the bottom a half of the world's population does .

Someni kitabu hicho kinaitwa "Population bomb "
Hebu tukazane tuwaletee manpower wahindi [emoji1]...
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
subiri utapewa ugumba unaohitaji, Mungu hulipa sawa na maombi!!
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Mwaka huu hauto maliza utakufa kwa maana unakufuru kwa Mungu Mwenyezi. 😬😡
 
Back
Top Bottom