Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo😄SAFI SANA
KATAA NDOA
Hebu tukazane tuwaletee manpower wahindi [emoji1]...World's one percent enjoys extravagant wealth ,power and priveledges more than the way the bottom a half of the world's population does .
Someni kitabu hicho kinaitwa "Population bomb "
miaka 48 inanitoshaukizeeka
anatokea monduli, keupe hiviila Nyetto unampigia Kama kawa.
Aaah Monduli hakuna vitu vya ajabu Kama hivyo mwanetu labda Bumbuli huko.anatokea monduli, keupe hivi
ila picha nishafuta tangu aanze habari za kuomba hela za kusuka
🤣 🤣 🤣 🤣 Ruangwa ndani ndani hukoBumbuli
Natokea Bungoni naunga Hadi Rova maandamano Hadi kigogo kituo kikubwa.🤣 🤣 🤣 🤣 Ruangwa ndani ndani huko
baki hukohuko, Tabata usiguseNatokea Bungoni naunga Hadi Rova maandamano Hadi kigogo kituo kikubwa.
subiri utapewa ugumba unaohitaji, Mungu hulipa sawa na maombi!!Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Kote si ilala huko lazima nifike.baki hukohuko, Tabata usiguse
Tabata usifike, utanishukuruKote si ilala huko lazima nifike.
Naskia huko na UTI Kama wameingia ubia vile.Tabata usifike, utanishukuru
UTI zao huhitaji kugusana
Azuma kwao kama maji hukoNaskia huko na UTI Kama wameingia ubia vile.
Mwaka huu hauto maliza utakufa kwa maana unakufuru kwa Mungu Mwenyezi. 😬😡Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Kuna watu wazoefu kule.Azuma kwao kama maji huko
ukiloweka tu, breki ya kwanza ni Azuma
usajili wa UTI au Gono ?Kuna watu wazoefu kule.
Kuna muondoko wakikuona unao wanajua kijana tayari kala usajili .