- Thread starter
- #121
Iwapo sheria inamruhusu basi niamfanyia na sherehe!Je mkeo akikuomba kupata mme wa pili utakubali? maana mapenzi yanauma sana hasa unapofahamu kwamba muda huu yupo kwa naniii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwapo sheria inamruhusu basi niamfanyia na sherehe!Je mkeo akikuomba kupata mme wa pili utakubali? maana mapenzi yanauma sana hasa unapofahamu kwamba muda huu yupo kwa naniii.
Nashangaa! Eti wanadai haki kwa kunivunjia haki yangu iliyopo!kwani akioa kuna shida gani jamani?
Mbona mwajijaza taabu za bure?
Aoe tu mtu mwenye quality za kuosha, sio alete Asha Ngedere nyumbani.
Naweza kukuorodhesha katika orodha au nimeshachelewa?ongeza tu mkuu mradi uwatimizie wote kusiweko na malalamiko
Ushauri wangu wa bure, ndoa ya pili au ya tatu ni ndoa ya utapeli au uwizi, keep in mind love is not enough to convince someone lazima kutakuwa kuna maslahi fulani yanatarajiwa from both side.
Hakuna mwanamke anayekubali kushare mume if there is nothing in return apart from love thats the fact.
Awali ya yote Mabrouk! Ila nakusia nafsi yako na yangu pia katika kuwa muadilifu kaka! Allah akutangulie katika hilo, akupe mke mwenye imaan, awaja'alie wote afya njema, rizk ya halal na watoto wema InshaALLAH!Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Nauheshimu msimamo wako lakini nini tusi katika ulimwengu wetu wa sasa? Samahani, lakini kama kivazi chenyewe ni kuvionyesha hivyo vinavyoitwa matusi unafikiri dunia yetu ni ya kujali nani kasema nini? Angalia maslaha dada angu after all hakuna uhakika wa mtu chake peke yake dunia yetu ya leo. Tukiowana angalau tutakuwa tumehalalisha huo usasa wa leo.
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Usiwe na wasiwasi nakuahidi mambo yatakuwa mazuri. Hutokosa kitu hebu nipe wasiwasi wako , nikutowe!
Awali ya yote Mabrouk! Ila nakusia nafsi yako na yangu pia katika kuwa muadilifu kaka! Allah akutangulie katika hilo, akupe mke mwenye imaan, awaja'alie wote afya njema, rizk ya halal na watoto wema InshaALLAH!
we jimwage! Kimpango wako!Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Sijasema kuwa nilieowa wa mwanzo hana sifa bali namaanisha dunia ni kubwa na wazuri kila siku wanazaliwa, sasa nina haja gani ya kuowa nijifunge huku naweza kila siku kubadilisha kwa mujibu wa nitakaeona ni mzuri zaidi?
Nakuhakikishia kuwa zipo ndowa ambazo zinakwenda vizuri tu na hilo la mkubwa kunyongeka zipo ndowa ambazo mkubwa hubaki na mdogo akashindwa.
Ama hili la kuletewa mtu mwengine mwenzangu nikuulize wanaokwenda nje ya ndowa au kuharibu ndowa za wenzao huwa wanaumme kwa wanaume? Iweje mwanamke kutokana na kuwa na roho nzuri (Wachilia mbali mwamme mwenye roho mbaya) akafanya jitihada za kuharibu ndowa ya mwanamke mwenzake na iweje wewe mwanamme ukijiwa kuwa kinu fulani kinatwangwa na fulani tena wa ndowa ukafanya jitihada ili nawe utwange kinu kilekile?
Mimi sioni kuwa tutaweza kuepuka Biblia au Qurqni katika ndowa, after all si nilishakwambia ndowa toka hapo ni kujinyima uhuru?