Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sababu zako ni zakitoto sanaToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Ushaona kila siku tunabadilisha uraia kama nyieKiaje wakati nyie ndio hamueleweki.
Labda we peke yako Mtani. Ila wengine tukicheza na Namungo wako Namungo tukicheza na KMC wako KMC.
Hata mimi sina uhakika kama umepaona hapo nilipoandika 19Nilijua hujapaona pale nilipoandika 12 kumbe ulipaona Mtani. Aiseeeee.
Mwaka mliopigwa 6-0 na Raja CasablancaMwaka gani hiyo kwani? 😎😎
😀😀😀 ngoja nicheke kwanza Mtani. 😀😀😀Mwaka mliopigwa 6-0 na Raja Casablanca
Nimepaona ndio sababu nikauliza ilikuwa mwaka gani?Hata mimi sina uhakika kama umepaona hapo nilipoandika 19
Nipo hapa nakata tiketi ya platinium, nikuchulie na yako mpendwaSasa Mkuu mechi za CAF zote umecheza kwa Mkapa? Au kisa umepigwa zile Twelve basi unadhani habari zenu hatunazo. Aiseeee.
Jumamosi tegemea ya kushangaza hapo kwa Mkapa Mkuu.
Kwa Fact kama hii naweza kubaliana nawewe kwamba wanaweza kufungwa.Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Khaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shida mnajitanabaisha kuwa nyie Wamisri,Algeria,Congo Na Mombasa duh ndan ya mwaka mmoja duh nyie noumaLabda we peke yako Mtani. Ila wengine tukicheza na Namungo wako Namungo tukicheza na KMC wako KMC.
Kwa hili tuko Sare Mtani na haitakaa itokee Yanga ikacheza na timu yeyote halafu mshabiki wa Simba akaishangilia Yanga huo ndio ukweli ulio wazi kabisa.
Labda wale shabiki mandazi.
Hongera kwa kuchagia pumbavu zakoSimba kufungwa ni lazima acheni kujipa tamaa, kwanza kwa miguu gani yakumfunga AS Vital..!!
Mzee Akilimali Atampiga robaHivi pale simba kuna beki Wa kumkaba yule mundele makusu
Kama Stendi walivyotunywesha maji ya moto sisi akina Vyura.mashujaa waliwafunga Simba kinesi