Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Al Ahly, Js Soura, As Vita ,Mbao, Mashujaa waliwafanya nini?

Au kwako tafsiri ya kufungwa imekaaje Mtani?
Kumbe unazungumzia kombe la Azam Confederation Cup na ligi ya bara? Zungumzia CAF Champions League kwa Mkapa
 
Na nyinyi muwepo mkishuhudia mauaji ya kimbari kutoka kwa mfalme wa nyika, Mnyama mkali kupita wanyama wote muungurumo wake mmoja tu ulitosha kumnyamazisha chura churani sasa ni zamu ya AS VITAMBI

Simba nguvu moja
Tuombe uzima Insha Allah ili pale yatakapokuwa kinyume nione utasingizia nini Mtani. Maana Wacongo si watu wazuri.
 
Tulishawahi kukuomba msaada? Wewe kama wewe unaichangia nini simba? Mwenzio najivunia kuchangia Yanga yangu .
Siku Mo katekwa mliweweseka mlijua ndo mmekwisha, halafu ni aibu kujisifia kwa mali za mwenzio.

Kuna midume na mip..mbu yao imekaa kusifia hela za mwanaume mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajadili mechi ijayo weye umetuna kulazimisha Mo kwenye uzi.Kama anakuumiza roho sana jiunge Simba.Jadili mechi ijayo ya Simba maana kuyajadili ya Yanga huwezi.Halafu unasema Simba haijaisaidia Yanga?Vipi ile mechi ya juzi mliyoponea viingilio?Na kuhusu kuchangia timu hakuna haja ya kujitapa kama binti wa kiswahili anadanga.Kila mmoja achangie timu yake kimyakimya.
 
Back
Top Bottom