Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Badala muangalie ni namna gani mnaisaidia timu Chura aka Saidia baaba ,mmerefusha midomo kama mnapuliza moto au ni watoto wa samaki chuchunge!Matumizi mabaya ya mawazo haya.
Hao hao saidia baba wanakuumiza kichwa, by the way yanga ni timu ya wanachi
Siku Mo akimka akasema nataka wanaoipenda simba woote waandike saba vinginevyo sitoi pesa nadhani marinda mengi yatatatuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi kiniumiza kichwa.Vyura kila dakika mnaanzisha nyuzi kuhusu Simba badala ya kulima hata matikiti mjikimu na kujikwamua na njaa.
 
Hawawezi kiniumiza kichwa.Vyura kila dakika mnaanzisha nyuzi kuhusu Simba badala ya kulima hata matikiti mjikimu na kujikwamua na njaa.
Tulishawahi kukuomba msaada? Wewe kama wewe unaichangia nini simba? Mwenzio najivunia kuchangia Yanga yangu .
Siku Mo katekwa mliweweseka mlijua ndo mmekwisha, halafu ni aibu kujisifia kwa mali za mwenzio.

Kuna midume na mip..mbu yao imekaa kusifia hela za mwanaume mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom