Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Sababu zako ni zakitoto sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaona kila siku tunabadilisha uraia kama nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda we peke yako Mtani. Ila wengine tukicheza na Namungo wako Namungo tukicheza na KMC wako KMC.

Kwa hili tuko Sare Mtani na haitakaa itokee Yanga ikacheza na timu yeyote halafu mshabiki wa Simba akaishangilia Yanga huo ndio ukweli ulio wazi kabisa.

Labda wale shabiki mandazi.
 
Kwanini niamini Simba atashinda jmosi??
Hebu nitajie timu kutoka kundi D ambayo imeenda kucheza ugenini ikapata point tatu?? Mchezo utakuwa mgumu lakini huwezi kuhukumu moja kwa zote kirahisi tu eti Simba anafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Kwa Fact kama hii naweza kubaliana nawewe kwamba wanaweza kufungwa.
 
Kial mtu ashinde kwao. Katika group D aliyefanikiwa kupata matokeo kibabe ugenn ni Al ahly tu nayo ilikua sare. Hawa Nguchiro laazma tuwapige....

Wazee wa kupindua Meza [emoji23][emoji23]
 
Simba kufungwa ni lazima acheni kujipa tamaa, kwanza kwa miguu gani yakumfunga AS Vital..!!
 
Labda we peke yako Mtani. Ila wengine tukicheza na Namungo wako Namungo tukicheza na KMC wako KMC.

Kwa hili tuko Sare Mtani na haitakaa itokee Yanga ikacheza na timu yeyote halafu mshabiki wa Simba akaishangilia Yanga huo ndio ukweli ulio wazi kabisa.

Labda wale shabiki mandazi.
Shida mnajitanabaisha kuwa nyie Wamisri,Algeria,Congo Na Mombasa duh ndan ya mwaka mmoja duh nyie nouma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom