Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Let's wait and see Mtani. Kama zitakuwa na nafasi safari hii. Japo hujazisema ndio zipi.
Kwani hao niliowataja tuliwafungaje???njia hizohizo tulizotumia kuwafunga ndo zitatumika juma mosi
 
Simba itaweka rekodi tena hapo kwa Mkapa jmosi na pia hii mechi si muhimu kwa Simba pekee ila pia soka la Tz kwa ujumla maana kusonga mbele kwa mnyama ni fursa kwa vilabu vingine vya Tz kupata nafasi zaidi ya kushiriki hii michuano hivyo acheni uchawi maana Simba imebeba hatima yenu.
 
Watu kama nyie ndo mnatia taifa hasara tu apa hamna mnacholitakia taifa kwenye maendeleo .

Simba au Yanga ikifungwa utafaidika na nn sasa, na ikishinda ni faida ata kwa wauza maji pale uwanjani watauza tena.

ghost rider
 
Watu kama nyie ndo mnatia taifa hasara tu apa hamna mnacholitakia taifa kwenye maendeleo .

Simba au Yanga ikifungwa utafaidika na nn sasa, na ikishinda ni faida ata kwa wauza maji pale uwanjani watauza tena.

ghost rider
Unafiki siutaki simba kwa uwezo hawezi kuwafunga As Avital
 
Ndio umeandika nini?
 
Changia nduguzo,TFF kawapiga M9 sijui mtaomba wapi wana omba omba FC

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga timu ya wanachama Na wapenzi..hata Madrid Na matimu makubwa duniani kuna fees za mwaka ..sasa sisi huku mifumo mibovu ndio Yanga wanataka kuanzisha huo mfumo uwe endelevu...Ombaomba mnakosea Na mnajifariji tu..Yanga ikiwa imara hakuna timu ya kuisumbua..Sirikali kwa kumtumia Bashite waliona strength ya Yanga ni Yusuf.. Wakamzingua sana mwisho wake wanatafuta dollar kwa tochi..yana mwisho..Hata alivyofariki Gulamali Yanga iliyumba akatokea Manji..ila sasa tutaweka mifumo wenyewe...
 
Baelezee baelezee mzazi, hawa nyumbu wamezidi kujisifia ujinga, eti wao wana hela, Semeni Mo ana hela tutawaelewa lakini ninyi ni maskini tena msiojitambua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…