IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Kwani hao niliowataja tuliwafungaje???njia hizohizo tulizotumia kuwafunga ndo zitatumika juma mosiLet's wait and see Mtani. Kama zitakuwa na nafasi safari hii. Japo hujazisema ndio zipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao niliowataja tuliwafungaje???njia hizohizo tulizotumia kuwafunga ndo zitatumika juma mosiLet's wait and see Mtani. Kama zitakuwa na nafasi safari hii. Japo hujazisema ndio zipi.
Hamjaanza leo, mlianza kwa Waswaziland, mkaja Nkana, Saoura kisha Al Ahly.Simba kufungwa ni lazima acheni kujipa tamaa, kwanza kwa miguu gani yakumfunga AS Vital..!!
Unafiki siutaki simba kwa uwezo hawezi kuwafunga As AvitalWatu kama nyie ndo mnatia taifa hasara tu apa hamna mnacholitakia taifa kwenye maendeleo .
Simba au Yanga ikifungwa utafaidika na nn sasa, na ikishinda ni faida ata kwa wauza maji pale uwanjani watauza tena.
ghost rider
Yanga ni timu ya wananchi tutaichangia..Changia nduguzo,TFF kawapiga M9 sijui mtaomba wapi wana omba omba FC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umeandika nini?Ukisema Simba atafungwa moja kwa moja utakuwa hutendi haki, Kwan kundi D kila timu inaweza kushinda ikichanga vizuri karata yake.
HAKUNA aliyeamini Kama Simba angemfunga ahaly pale kwa mchina [emoji41] (kwa mkapa samahani)
Ukichunguza vizuri kwa Sasa HAKUNA ungerdog club, kila timu imeonyesha uwezo wake hususan kwenye viwanja vya NYUMBANI!
Kuelekea jumamos Sina Shaka Simba atazichanga vyema karata zake, kwa sababu zifuatzo;
Mosi, as vita atatupania Kama alivyotupania ahaly, hivyo watakachotuna nacho wataenda kumsimulia Felix Tchiseked kwanini sisi ni Simba.
Pili, yeye Ana point Saba, sambamba na misri, hivyo atafunguka mwanzo mwisho ili apate goli la mapema, na ikiwezekana apate magoli mengi wakati huo Simba haitaleta masihara, mbele lazima okwi, kagere, boko culibaly, na chama watakuwepo mbele, japo chama huwa ananiboa Sana. Anapenda vituchenga vya ajabu ajabu Sana utani anacheza na timu ya wananchi (yanga) badala apige mbele yeye huwa anamsubiria adui wakati Hana nguvu!
Lakini inshallah kwa mchina hachomoki mtu, DO or DIE kitaeleweka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mtani.. Umeandaa jezi ya Vita au Simba?í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Bado siku mbili Mtani.
Yanga timu ya wanachama Na wapenzi..hata Madrid Na matimu makubwa duniani kuna fees za mwaka ..sasa sisi huku mifumo mibovu ndio Yanga wanataka kuanzisha huo mfumo uwe endelevu...Ombaomba mnakosea Na mnajifariji tu..Yanga ikiwa imara hakuna timu ya kuisumbua..Sirikali kwa kumtumia Bashite waliona strength ya Yanga ni Yusuf.. Wakamzingua sana mwisho wake wanatafuta dollar kwa tochi..yana mwisho..Hata alivyofariki Gulamali Yanga iliyumba akatokea Manji..ila sasa tutaweka mifumo wenyewe...Changia nduguzo,TFF kawapiga M9 sijui mtaomba wapi wana omba omba FC
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀Wacha hizo bana. Mie nishaandaa na jenereta ili mradi tu niwe naangalia huku nawaletea Updates watani zangu. 😀😀😀😀
Mtoto halali na hela
Na usiache kumpigiaWacha Weeee. Haya bana Mtani.
Ila jumapili si utakuwepo hewani? 😎
CC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat, Sanchez magoli , 100 Likes jumamosi muwepo jamaani Updates mutazipatia hapa hapa.
Baelezee baelezee mzazi, hawa nyumbu wamezidi kujisifia ujinga, eti wao wana hela, Semeni Mo ana hela tutawaelewa lakini ninyi ni maskini tena msiojitambua kabisa.Tulishawahi kukuomba msaada? Wewe kama wewe unaichangia nini simba? Mwenzio najivunia kuchangia Yanga yangu .
Siku Mo katekwa mliweweseka mlijua ndo mmekwisha, halafu ni aibu kujisifia kwa mali za mwenzio.
Kuna midume na mip..mbu yao imekaa kusifia hela za mwanaume mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app