manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.ππMMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? π
Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. ππ
Msema kweli shafii dauda hawa wote wahamasishaj