Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

MMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? 😜

Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. 😜😜
Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.πŸ˜€πŸ˜€

Msema kweli shafii dauda hawa wote wahamasishaj
 
Kwani Simba ili afuzu anahitsji sare? Kama ukijua anahitaji ushindi Basi Simba Ana umuhimu nayo Sana kuliko As vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha Simba ni underdog kwenye hili kundi. So kama Vita watataka chao watakipata hata kinguvu japo Simba nao wanahitaji ushindi tu. Kwa hyo kwa harakaharaka anamaanisha Simba wana uwezo mdogo ukilinganisha na uwezo Wa Vita
 
Simba itaweka rekodi tena hapo kwa Mkapa jmosi na pia hii mechi si muhimu kwa Simba pekee ila pia soka la Tz kwa ujumla maana kusonga mbele kwa mnyama ni fursa kwa vilabu vingine vya Tz kupata nafasi zaidi ya kushiriki hii michuano hivyo acheni uchawi maana Simba imebeba hatima yenu.
Hakuna cha uzalendo wala fursa hapa
Nyiee jumamos mpigwe tuu.

kwanza mashabiki wa yanga wote tuna uraia pacha tuna asili ya Congo kwa mbaaaali

as-vita-club-710x426.jpg

Ujasiri wa kuichukia kijani na njano tutautoa wapi??

Tanzania tuna timu moja tu yanga.
simba wako porini
 
Mwezi huu huu misiba mwili! Bila unafki, Wacongo wanatulaza matanga na kabla hatujaanua.... Waganda nao wanatulaza tena matanga! Madereva wewe Piga kazi
 
Anamaanisha Simba ni underdog kwenye hili kundi. So kama Vita watataka chao watakipata hata kinguvu japo Simba nao wanahitaji ushindi tu. Kwa hyo kwa harakaharaka anamaanisha Simba wana uwezo mdogo ukilinganisha na uwezo Wa Vita
Kwa hili mie acha niandae nguo zangu maana najua POVU LAJA. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom