Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.😀😀

Msema kweli shafii dauda hawa wote wahamasishaj
Dauda alisema JS SAOURA atamaliza na point 2 sasa hv anazo 8.
Al ahly point 15 sasa hv anazo 7
Simba point 4 sasa anazo 6.
Dauda now amebinya kende tusitoboe kwenda robo , anajua ataaibika.
 
Back
Top Bottom