Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Duuh! Kaka Shikamoo.hapo kwenye UNDERDOG toa weka underwear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Kaka Shikamoo.hapo kwenye UNDERDOG toa weka underwear!
Kwani mashujaa waliwafungia wapi?Simba hafungwi na timu yoyote pale taifa.
Asante mtaniUsijali Mtani
Ha ha haKwa hili mie acha niandae nguo zangu maana najua POVU LAJA. 😀😀😀😀
Dauda alisema JS SAOURA atamaliza na point 2 sasa hv anazo 8.Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.😀😀
Msema kweli shafii dauda hawa wote wahamasishaj
Subiria ayo magoli akikutana na churaVita nawaomba wasifunge magoli mengi 3 au 4 yanatosha
Nimeogopa kuharibu uzi kule. Pole sana Mtani.Nipo hapa nakata tiketi ya platinium, nikuchulie na yako mpendwa
Yani na kihemu hemu tukiwapiga as vita hamtalala wiki nzima kwa kelele zetu mtani,Nimeogopa kuharibu uzi kule. Pole sana Mtani.
TA ndio home ujue. 😎😎😎
Hahahaa. Kama nawaona Mtani mtakavyotusumbua. Ila ikiwa kinyume mjipange. 💃💃💃Yani na kihemu hemu tukiwapiga as vita hamtalala wiki nzima kwa kelele zetu mtani,
Usiniambie mndele wa wapi weye meyangu.
Naimani Leo tunaenda tengeneza historia nyingine mtani. Wacha tusubiriHahahaa. Kama nawaona Mtani mtakavyotusumbua. Ila ikiwa kinyume mjipange. 💃💃💃
Hahahaa. Kama nawaona Mtani mtakavyotusumbua. Ila ikiwa kinyume mjipange. 💃💃💃
Nzuri Mtani. Niaje?Mtani habari yako.
Nzuri Mtani. Niaje?
Nasikia mnaongoza mojaNzuri tu Mtani, kuna uzi nimeuona Lipuli kakinukisha huko!
.....Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog