Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kwetu hakutakuwa na umeme siku 3Wacha hizo bana. Mie nishaandaa na jenereta ili mradi tu niwe naangalia huku nawaletea Updates watani zangu. ππππ
Mtoto halali na hela
Utakuwepo?CC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat, Sanchez magoli , 100 Likes jumamosi muwepo jamaani Updates mutazipatia hapa hapa.
anampenda na kumheshimu sana mkewe, so hawezi fanya huo ushenzi...kama vp weka wewe mkeoWeka rehani mkeo kama wenzako wanavyofanya, ili tuamini kuwa unasimamia ulichosema
Kwani mimi nimeanzisha ubishi wa mpira? Aweke yeye anayejiona bingwa wa kubashirianampenda na kumheshimu sana mkewe, so hawezi fanya huo ushenzi...kama vp weka wewe mkeo
Nichukulie Aisee Mtani nikawashangilie As Vita. πNipo hapa nakata tiketi ya platinium, nikuchulie na yako mpendwa
π π π π π
Nishaandaa ya Vita aisee Mtani.kweli mtani.. Umeandaa jezi ya Vita au Simba?
Utanitag basi na mie. ππHuu ni uzi wa mpiga ramli hauna hadhi kwa Mshabiki wa Simba kuangalia Updates.
Zipo Nyuzi za wenye Akili ndiyo tutaangalia Updates
Uuuwiiiii. Ntakuletea basi hapo ulipo hizo Updates Mtani. πKwetu hakutakuwa na umeme siku 3
Yah. Nitakuwepo.Utakuwepo?
Kama nakuona binti Ya Papa Zahera mutu ya CONGONishaandaa ya Vita aisee Mtani.
Huu uzi wataukimbia masaa machache yajayoYanga mnafaidika na nini tukifungwa. Roho ya kimasikini
Utanitag basi na mie. ππ
Wivu wa tumboni unawasumbua tu.. hawana jipyaHii mechi Simba tushinde tu maana kuna watu wametung'atia ulimi sijajua tumewakosea nini.
Ulete yatakayojiriYah. Nitakuwepo.