Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Nendeni mkampe support Nyarandu kaleta treni ya kisasa
 
Tuwape tu pole zenu.
Sasa unalia lia tukusaisie nini?
Hakuna namna cha msingi ni kufa tu na kihoro!
 
Fanyeni maamuzi ndugu zetu maana nafasi ndiyo hiyo inakuja October,
 
Hivi tukijiuliza to unapata shida kuelewa ni kitu gani kinamtia uoga kiasi hiki hadi asijiamini?
uko ukumbini? acha hizo wewe! Ila hoja yako ni ya msingi sana! Mimi sioni ajabu, madikiteita wote wako hivyo!
 
Tuwe wakweli jaman 2020 upinzani ni nani wa kupambana na Magufuli?kwa mikakati ipi na kwa sera zipi muhimu wapinzani wajikite kwenye ubunge na udiwani tu
Hawa wataendelea kuondoa stress zao humu jf lakini kule field ni wepesi sana mwaka huu.Kimbunga cha Lowassa kiliwapa kichwa safari hii ni uyatima kwenda mbele unawatafuna.
 
Kiujumla vyama vya upinzani mwaka huu vina khari Mbaya sana.

Huku jpm
Huku mwinyi
Huku Samia suruhu
Huku majariwa!!!!?

Vibwagizo vya wanamziki wte!!!
Sijajua mbunge wa upinzani atakae rudi bungeni.
Suruhu = suluhu
Majariwa= majaliwa

Usiharibu majina ya watu
 
Wanaccm awamu hii wanaishi kutegemea policeccm kuwabeba,ila mioyoni mwawapiga kura hakuna anaewataka kabisa.
Waangalie walivyopauka leo uso zao hazina nuru wapowapo tu kama mambumbumbu
 
Yaah. Hili limeanzia huko mkuu, tunamuliwa mambo badala ya waccm we nyewe kuamua. WanaCCM hatujaipenda hii.
Shida ni ccm wenyewe,leo umemsikia kile kizee kichawi kinamwambia aongeze muda ikiwa shukrani kwa mwanae kupewa nafasi znz
 
Kwahiyo tukusaidie nn? Kwn as huduma kwa wateja
 
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
Nimekuwa nikiamini unajitegemea kimawazo kumbe hauko hivyo? Tatizo lako la kutokujiamini usilifanye la watu wote.

Your are indeed like your Sexless profile ID.
 
Mtajijua hayatuhusu
 
Nabado mpaka mtaelewa waupinzani wanachosema,,nyuki hakumbatiwi baba ,,
 
Shibuda 2010 alivunja utaratibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…