Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Hapana. Sinufaiki na utawala huu zaidi ya kuwa na nafasi ya kufanya biashara zangu bila vita na machafuko. Silaha za jadi za nn kwenye kura sasa? Kukishatokea machafuko tutafanyaje kazi sasa?Ni vyema kama ni kushiriki kupiga kura watu wahimizwe kwenda na silaha za jadi. Ila kwenda kupiga kura kama wanaenda kwenye nyumba za ibada ni utani. Uchaguzi wa safari hii kama wapinzani wamekubali kushiriki chini ya tume hii, wajiandae kwa machafuko zaidi kuliko kinyume chake.