Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Hiki chama kinaongozwa na meko hakuna anaefungua domo wote ni ndioo,angalia uso zao hazina nuru kabisa
 
Kunta Kinte, a slave again, no sir
Picture blacks sayin', oh yes'a massa-Miss Elliot (Work it)

[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Usipate shida ndugu anajichimbia kaburi lake mwenyewe bila kujua watu walipoweka sheria na kanuni ziongoze mambo walikuwa na akili sana hivyo basi kwa muda huu watendaji wake washamjua kwaiyo wataanza kujihami kukabiliana naye kwani hakuna mtu asiye mbinafsi humo humo wapo wenye nguvu ambao Sikh akiwauzi hawatokubali wataitaji mpinga hadharani
 

Na bado, mtakoma!!!! Eti mmempa kura 100% kuwa mgombea pekee wa chama!!! Toba, uzwazwa huu nimeusikia kwa Sadam Hussein na sasa Dodoma!
 
Amechukua form peke yake. Wengine wakafungiwa milango.
Wakati wa kumpitisha, katibu mkuu bila aibu anasema katiba inataka wagombea watatu, ila aliyechukua form ni mmoja tu. What a joke!
Nani alitaka kuchukua form akazuiwa?
 
Amechukua form peke yake. Wengine wakafungiwa milango.
Wakati wa kumpitisha, katibu mkuu bila aibu anasema katiba inataka wagombea watatu, ila aliyechukua form ni mmoja tu. What a joke!
[emoji22]
 
kila zama na shetani wake na mambo yake! katika vita ya kiuchumi aliyojitwisha Mkulu kama ni kweli ni dhamira yake toka moyoni ni lazima iendane na udikteta katika nchi maskini ambako kila mtu anawaza kuiba na tumbo lake tu, ni vita ngumu yenye asilimia nyingi za kushindwa! ili kushinda ni lazima atumie mabavu kupata wasaidizi wote wa chama na serikali wanaomuunga mkono kwa hiari na kwa lazima, hivyo ni lazima demokrasia iende likizo kwa muda na safu nzima aipange Mh Rais Magufuli yeye mwenyewe.

Kwa maoni yangu Magufuli yuko sahihi kuwaburuza atakavyo wanachama na wasaidizi wake bila kufanya hivyo atafeli kutokana na mfumo wa kielimu, wa kisiasa na kijamii wa nchi hii!

Magufuli akimaliza muda wake na kukamilisha miradi yake haya sisiem irudi kwenye siasa zake na demokrasia. Nyerere aliweka huruma na demokrasia akavuna mabua kwa kutengeneza mafisadi katika kila ofisi ya umma!!
 
safi sana! lazima kuwe na msimamo, siyo kila mtu ajiamulie lake.
 
Chama siyo chenu tena ni NGO ya Mwenyekiti
 
Jengeni umoja na tafuteni mbinu za kushinda uchaguzi, haya makosa madogo madogo mnatafutiza kwa tochi yanawapotezea muda.

CCM haiwezi kung'olewa kwa malalamiko ya kitoto namna hii.
 
Kachero mbobezi kamarada Bernad Kamilius Membe. Unabisha?
Huyo sio mwanachama atawezaje kuchukua form CCM. Alikiuka maadili wakamtimua..
Ila Membe hana mvuto wa kisiasa jamani mnalazimisha tu. Haya msimamisheni huko ACT achukue nchi kweupe.
 
Mkuu, siyo CCM peke yake ......... Bali ni nchi nzima tunapelekeshwa.
 
Mkuu, siyo CCM peke yake ......... Bali ni nchi nzima tunapelekeshwa.
Bora angekuwa na heshima hata ndani ya chama basi. Lkn kwa hili nitapiga kelele mpk kieleweke.
 
Ccm ndio wanaolazimisha watu wafikie hatua hii, inabidi kwenda na silaha za jadi ili kila mtu ajilinde na tuheshimiane.
 
Ccm ndio wanaolazimisha watu wafikie hatua hii, inabidi kwenda na silaha za jadi ili kila mtu ajilinde na tuheshimiane.
Trust me machafuko si jambo unalolitaka kama una watoto wanaoenda shule na una biashara inayohitaji utulivu wa jamii. Kumbuka siasa ni biashara za watu wengine, ss kuharibiana biashara sababu biashara ya siasa imekaa pabaya si sawa. Hii nchi hata uhuru watu hawakumwaga damu.
 
Safari hii ni mwendo wa kuletewa wagombea kazi ya wanaccm ni kuchagua uwe unataka utamchagua umtaki utamchagua.
Yaani unaweka tick kwa mgombea Lijualikali huku machozi yanakutoka, hukumtaka lakini umelazimishwa, hakuna jinsi, mliyataka wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…