Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Mkuu ww ni bikra?
 
Kama we ni bikra sawa usifanye uzinzi Ila Kama wewe sio bikra hakuna cha kuogopa dhambi wala nini unatengeneza tu mazingira ya kumfanya akuoe

Toa papuchi bana principle ni ile ile SHAKE WELL BEFORE USE
 
Mbona simple!!!Muombe mungu jamaa asikuombe mchezo tena!halafu awe anakusikiliza kwa kila jambo!hata ukimwambia Leo vaa vizuri twende church akubali!hata ukimwambia NIOE AKUBALI!MWAMBIE MUNGU UNATAKA AWEJE!!!
 
Eti "Nademka tu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kudemka ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…