Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kwangu Mimi mahusiano ya kuchepuka yananiathiri sanaUkizini kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu Mimi mahusiano ya kuchepuka yananiathiri sanaUkizini kivipi?
Ninyi mnaoachwa mtende dhambi pasipo kuadhibiwa sasa hivi mmetengewa adhabu yenu ya kwenye "ziwa la moto". Ndugu yangu ogopa sana tena sana ukiona unatenda dhambi halafu hupati matatizo yoyote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sisi itakuaje Sasa
Hawezi kukuelewa[emoji1787][emoji1787]Aisee pole Sana . Mbona mwenzetu shetani anakutesea sehem muhimu hivo..... Au ulisha wahi shiriki madhabau za kichawi na kujiwekea nadhiri juu ya papuchi yako.....? Mbona wengine wanapukuchuana na hakuna tatizo .
Ushauri wangu Anza kuanza kujua kwa nini wewe upo hivo na hayo mavitu uliyatoa wapi uyarudishe uendelee kuchakatwa Kama wengine
Sawa,nitamueleza akiona itamfaa atachagua njia sahihi,Mungu ni zaidi ya uzinzi.Dada mweleze tu kwa hekima kuwa mnachofanya akimpendezi MUNGU, maana mnafanya uzinzi, na uzinzi ni chukizo kwa MUNGU.
Na ili mfanikiwe inawabidi mumfuate MUNGU.
Ndio unayopitia mkuu,naletewa ndoto kuhusu swala la uzinzi mpk nkaletewa mstari unasema mwenye masikio na asikie mathayo 13:9 na ni baada yakupuuzia mnoo,swala la linarudisha nyuma kiroho,Unatoka katika uwepo wa Mungu kabsa.Issue kma hii imewah kunitokea kwa binti mmoja tulipendana sana na me ndo nlikuwa mwanaume wa kwanza kwake.... binti alikuwa deep sana kiroho baada ya muda akanza kuniambia anaona ukarbu wake na Mungu unapungua akawa anaona maono kuhusu maswala ya uzinzi baada ya muda kma wa miezi sita akaja kuniambia hawez kuendelea kuwa na mm sababu anajiona anakuwa mbali na Mungu nikamuacha aende japo kwa maumivu
Umeambiwa wanaokoka au kuzaliwa upya ni mabikra tu?Mungu alikuja kuwaokoa wenye dhambi na sio wasafi na ndio maana aliketi na makahaba,watoza ushuru,Na msalabani alikufa kwa sabbu ya sisi wenye dhambi.Natamani ungepata neema kama yangu ukamjua Mungu,Mimi pia nlikuwa kama wewe mpinga ishu za dini,See me Now naamua kuacha uzinzi kumtii Mungu,Naacha uzinzi sabbu nmeokoka.Mkuu si bora angekuwa bikra ndo afanye ivo tungemuelewa.
Thank you mamy,God over everything.Choose God Honey.
You will never regret.
The Good Lord holds the key to all the beautiful things in this world. Like Happiness, love, wealth, and Good health.
When the time is right He will unlock all the goodies with perfect timing.
If he insists on adultery, the more reason you should let him go.
Good Luck.
Umeongea vema,ila sijasema nnaeomba nae ndie nnaeshiriki nae zinaa.Nmesema kuhusu kuombewa kuwa,kuna mda mtu unasaidiwa kuombewa kama ambavyo wachungaji wanatuongoza Ibada.Napokea iyo baraka ulitoninenea ya kusoma neno la kulielewa,Amen.Si kweli dada angu,me sijui una muda gani kwenye wokovu but kwa kauli hii nimejua wewe unaanguka kwenye uzinzi sababu inaonekana bado hujapata ufahamu vizuri neno likakolea...Yesu ambae ametufunisha jinsi ya kuomba alikua anajitenga we unasema mtu hawezi omba peke ake..kwaio wewe huwa huombi mpaka uwe na mtu?na mtu mwenyewe ndio huyo anakurudisha kwenye uzinzi?
Ushauri wangu kua na msimamo,biblia inasema IKIMBIENI ZINAAA narudia IKIMBIE hili sio jambo la kiroho tu ni la kimwili pia USIWEKE MAZINGIRA YA WEWE NA HUYO MTU KUWA FARAGHA ETI MNAOMBA wengi sana wanaanguka hapo,kama mnania ya kuomba kaombeni kanisani.
Pia tafuta sana ufahamu kuhusu mambo ya Mungu na neno,soma neno kwa kutafakari na Mualike Roho akuongoze ULIELEWE,mana shetani haogopi NENO wala HAMUOGOPI ALIEOKOKA ila anamuogopa MTU ALIEOKOKA ANAELIFAHAMU NENO ndio maana Yesu alipojaribuwa alijibu kwa NENO ambalo akiwa analielewa vizuri.
Usijibusu wala kutomasana wala kukaa faragha imetusaidia sana wenzio.Hakuna mizimu apo wala wachawi IKIMBIE ZINAA.
Mungu akusamehe na hili....Kwani kusali ndio nini? hao wanaosali wanapiga uno mbaya kabisa hukuona lile uno la gwaji boy wakati anakula kondoo wake hatari sana wakati anakaribia kufika Golgota alitoa mlio wa ajabu kama ule wa Simba wakati anakula nyama ya swala pala, kimsingi kunyanduana ndio mpango mzima wee kalaghabaho na sala zako
Yupi sasa yule wa kupakaa mafuta ya wafu ili waumini muwe mazuzu mpeleke sadaka au yule aliye haiMungu akusamehe na hili....
Maana yake nini ? Hili ndilo swali langu bibie.Ni jina tu kama Jurjani.