Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Aliyeanza kumalizia hii hadithi kwa kwenda kanisani na kutaka kututia mkenge ni nani? rudia hiyo post uone aliyeanza udini.

Au kanisani hakuna dini?

Ila aliyeanzisha huu uzi na aliyesema maswala ya kanisani ni watu wawili tofauti hukupaswa kuwajumuisha kuwa lengo lao ni moja.Alaf pia sijakataa kuwa mshana jr hajataja kanisa,amelitaja..lakini kulitaja kwake hajam-attack mtu yeyote.

Ila ukiangalia comment yako hii,na comment zako zingine nyingi ambazo nishaziona huwa unaenda direct kwa mtu na kum-attack kupitia dini kitu ambacho sio kizuri dada angu.

Dini ni IMANI,na pia lengo mojawapo la kuwepo na dini ni kuleta AMANI

Tusiitumie kinyume na kuharibu lengo.


"Analyse"
 
Last edited by a moderator:
To me you are jus another s.h.I.t, smalltime b.!t.CH, dhaifu wa hoja usiye na lolote, mpuuzi fulani mwenye akili finyu kama matako ya bata...! Wewe kwangu ni kinyesi tu na kinyesi sehemu yake ni chooni
Faiza sole yangu ya kiatu ina thamani kuliko wewe mara milioni

Boss Vp? Umelewa kama ahmada?
 
Boss Vp? Umelewa kama ahmada?

Sipendagi maudhi na nina viwango vya uvumilivu kama binadamu yeyote yule my! Tunalumbana kwa hoja na mambo yanaenda, anapotokea mmoja akawa na endless direct attacks kwako binafsi na kwa imani yako, huyo anakuwa na akili finyu tena finyu hasa
Naheshimu sana imani na maoni ya wengine hata kama sikubaliani nayo lakini sijawahi kushindana lugha na mtu kwa kiwango hiki, nikiona sikubaliani nawe namute hili ni jukwaa huru naenda mbele kufanya mengine
Niwie radhi Angel Nylon kwa hili lakini sikuwa na jinsi
 
Last edited by a moderator:
MkuuTE0]To me you are jus another s.h.I.t, smalltime b.!t.CH, dhaifu wa hoja usiye na lolote, mpuuzi fulani mwenye akili finyu kama matako ya bata...! Wewe kwangu ni kinyesi tu na kinyesi sehemu yake ni chooni
Faiza sole yangu ya kiatu ina thamani kuliko wewe mara milioni[/QUOTE]
Haa! Vp tena Mkuu? Umepoteza kabisa?
 
mshana jr dont go that far brodah!!
Btw karibu tupate iced caffee late hapa tumalize jion salama
sawa mdogo wangu?
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo hayo mliyokusudia, kutupeleka kanisani, nilijuwa hiki kisa cha uongo kitaishia huko tu.

Wewe utabiri nini wewe? wacha uongo, hakuna aijuae kesho.

Ni naomba kuuliza tu kama angesema aliingia masjid kupiga swala je stori yake nzima ingekua uongo?

NB:naomba jibu tu mengine baki nayo
 
Yeah sikuwa na jinsi kwakweli hebu jaribu kupitia post zangu tangu mwanzo wa hii post utapata picha kamili

Pole mkuu,

Kuna wakat baadhi ya watu wanatulazimisha tutumie lugha ngumu ingawa siyo tabia yetu.
 
mshana jr dont go that far brodah!!
Btw karibu tupate iced caffee late hapa tumalize jion salama
sawa mdogo wangu?

Pole mkuu,

Kuna wakat baadhi ya watu wanatulazimisha tutumie lugha ngumu ingawa siyo tabia yetu.

Hakuna kitu kibaya kushambuliwa na mtu tena kwa hoja nyepesi na dhaifu kwakuwa tu hukubaliani naye kimtazamo na mna imani tofauti! This is too low...!
 
Last edited by a moderator:
Aliyeanza kumalizia hii hadithi kwa kwenda kanisani na kutaka kututia mkenge ni nani? rudia hiyo post uone aliyeanza udini.

Au kanisani hakuna dini?

So we ulitaka amalizie kwa kwenda masjid hapo ndo ungeikubali hiyo hadithi yake
 
So we ulitaka amalizie kwa kwenda masjid hapo ndo ungeikubali hiyo hadithi yake

Hatuna upuuzi huo Waislam, hatuna haja ya kuwadanganya watu ili waende Masjid, milango ya Masajid i wazi na unaingia muda wowote ule unasali unasepa, anaekwenda haya asiyekwenda haya. Kazi ni kwako.
 
Mi sijakuelewa mkuu unapa kwa kutumia ninii. Hupati raha kivipi kwani mazingira ya shughuli zako hizo ni za kustaajabiaha mkuu??
 
Mkuu,nifundishe mimi! Nitembezee dudumizi vitoto vya kihindi na kiarabu kkoo na upanga pale,then kila giza likianza bongo naenda far west mi ni mchana kwa mchana! Ibiza to carifonia to ....! No visa wala passport huu ni uzushi tuu!
 
Wadau salaam,

Nataka kushirikisha uzoefu wangu kidogo kuhusu haya masuala ya kupaa angani usiku na hata mchana. Faida na hata hasara zake!

Nilibahatika kuishi na mjapani mmoja jina lake Yokho Zim nchini Canada. Huyu mtu alikuwa mpole na mstaarabu sana. Alipendwa na kila mtu miaka hiyo ya '90 wakati tunasoma chuo kimoja jijini Ontario. Kwa kuwa nilikuwa mtu ninayejiweza kimasomo alishawishika kuambatana nami kila mahali na hapo ndipo nilipoanza kuichunguza mienendo yake.

Kama angeamua kukaa kimya hata iweje asemi na mtu. Aidha kama ingetokea nikamwacha mji mwingine kama Saskatchewan au Fort hills nilikuwa nashangaa kukuta ashanitangulia kufika chuoni. Angelala kumuamsha haikuwa rahisi labda aamke mwenyewe. Ungemwazia vibaya angekuuliza "kwa nini unaniwazia hivyo?" au "kwani nimekukosea nini hadi utake kuni...." tabia hiyo ilishangaza wengi.

Hayo na mengine mengi yalinipelekea kumchunguza ndipo nilipomgundua hakuwa mtu wa kawaida!

Alipogundua kuwa nishamgundua aliniambia mambo mengi sana ya ajabu na ya kutisha kwa angalizo nisimwambie mtu yoyote, la sivyo ningekutwa ya kunikuta!

Niliamua kukaa kimya, hatimaye nikamsihi anifundishe 'manjonjo' yake, akakubali kwa sharti lilelile la kumsetiri. Tulianza kufanya mazoezi kila siku za j.4 na alhamis mida ya saa 2 - 5 na kuanzia saa 5 - 9 usiku tulikuwa tunaenda 'field'!

Tulipomaliza chuo kila mmoja akashika njia yake, akarudi kwao Japan nikaenda kufanya kazi Colombia. Hata hivyo tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara, mara mie nimfuate Japan au yeye anifuate Colombia. Tulikuwa tunapaa zetu kila tulipotaka kutembeleana.

Niliporudi Tanzania mwaka 2010 niliishi maisha hayo hayo ya kupaa, kupotea ghafla (disappear), kusense mind za watu, kujihudhurisha katikati ya watu bila wao kunitambua, kulala na wanawake ofsn bila wao kujua iwe ucku au mchana, kusema mawazo ya mke wangu nk.

Maisha haya yamenikosesha raha sana kwa sababu nakosa kampani ya watu, ndg na jamaa wananiogopa, nikifika mahali watu wanakaa kimya au wanatawanyika, mke wangu wa kwanza amenikimbia, Wateja kwenye biashara zangu wanapungua kila mara, sipati kabisa ucngz kwa sababu nikipanda tu kitandani nasafiri angani kwenda nchi mbalimbali na wakati mwingine napambana na nguvu pinzani au wachawi, sina hamu ya mambo ya Mungu. Na kadhalika!

Sasa nimeamua kuacha rasmi mambo haya ili nami niishi kama binadamu wa kawaida, nimjue Mungu na niendelee na ishu zangu. Pia kwa wenzangu na mie hususani mliosomea far east haya mambo si ishu kabisa, yanakosesha raha, twawezayaacha.
Nasisitiza,

SITAKI TENA KUPAA!!!!!!
Astra projection
 
af kuna muda nikimkumbuka tu mtu nakuwa kama ninamwita ama anipigie simu ama aje anitembelee dk chache mbelen
hali hii imenifanya kila nikitaka kumuona mtu basi nasema akilin mwangu funan anipigie kweli atapiga

nimewaza hii ni aina gani ya supernatural power nikaamua kwenda kuisoma ndipo nilipogundua ni aina mojawapo ambayo ina deal zaid na utoaji wa amri zisizo na mashaka ndani yake na kinachofanya yatekelezeke ni ile imani kwamba nisemapo hivyo huwa sina kubadilika ama kuwaza zaid ya kuona litatendeka tuuu.

kuna nguvu kubwa sana katika kuamini jambo bila kuwepo na hata chembe ya shaka na huu ndio ufungua mkubwa sana kwenye kupata mengine unayotaka kupata.

majuzi nilijisemea nimechoka kufanya kazi ninapofanya nataka nibadili taasisi. i just sat down and say it inside me bila wasiwasi kabisa. next day i was called kwenye meeting nikakutana na watu tofauti tukaongea nikasema nataka nibadili kazi huwez amini niliambiwa njoo kwetu mtu wa aina yako ameondoka so kuna vacant position. nilienda bila hata interview nikapewa nafasi.

hivi toka mwez huu wa 3 niko kwenye kazi taasisi tofauti. kisa hiki kinanifanya nione kwamba imani ndio ufunguo w ahaya yote. na ukiwa na imani tayari unafungua hata usivyoweza kudhani. mie kila nilitakalo huwa naliona kwa positive mind tu since nigundue hayo na ile positivity ina ni drive kwenye good ends always
Nitajifunzaje hii kitu ila isihusiane na uchawi plz
 
Tafadhali namba zangu hizi naomba tuwasiliane ili nipate uzoefu juu ya jambo hilo limenivutia sana naweza jifunza kitu 0756805540
 
Ungemwazia vibaya angekuuliza "kwa nini unaniwazia hivyo?" au "kwani nimekukosea nini hadi utake kuni...." tabia hiyo ilishangaza wengi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom