fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Kila mtu akijua kupaa huko angani itakuwaje,? simtapata ajari nyingi sana angani na mtaovatekianaje?
Hahaha ndio nimei"favourite" thread hapa nafatilia kwa ukaribu sana. Nikipata mbinu tu lazima tutasomana kule.