Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Faizafoxy huwa ni mbishi ila kwa hili naMuunga mkono. Unajua kuna watu hushindwa kutofautisha ndoto na uhalisia
 
Uongo ni uongo hauna mjadala na wewe umekiri kuamua kujifunza uongo.

Wewe binafsi yako ni muongo na nimesha kubamba humu humu JF zaidi ya mara moja ukidanganya watu, kwa hiyo sikushangai ukeindelea kuutetea uongo wa wazi kabisa.

Mimi ni wrong number. Kumbuka hilo.

Acha zako za kizandiki wewe ! Unafikiri unajua kila kitu! Jitokeze basi kwa uhalisia wako kama mimi badala ya kujificha kwenye jina bandia
Kwanza kujiita Faizafoxy tayari ni tatizo naheshimu discretion za watu lakini wale ambao ni positive thinkers not like you ambaye unalazimisha unachotaka yet umejificha kwenye giza! Nikwambie kitu AM BETTER THAN YOU A THOUSAND TIMES
Perception creates reality 'wrong number' tells it all! Mipasho peleka uswazi
 
Eti jitokeze, kujitokeza ndiyo husemi uongo? Umejitokeza nini? kuwa verified ndiyo utambe, kwa sasa bado, huwaoni waliojitokeza? Unanchekesha!

Mara ngapi nimekubamba unadanganya humu na unaendelea kudanganya na umekiri unajifunza kudanganya.

Hapa ukidanganya na nikijuwa kama unadanganya nnakupa za uso "live" huyo ndiyo FaizaFoxy.

Lazima mjifunze mkipenda msipende na tunajuwa huwa mnajifanya mnajuwa huku mnajijuwa kuwa mnadanganya, sasa akitokea anaeujuwa ukweli na akawaumbua huwa mnatokwa povu na kukasirika sana. Kwangu mtatokwa povu kila siku mpaka mfikirie mara mbili mbili kabla hamjaandika uongo humu. Kumbuka hilo.

Maana nyinyi hamjafunzwa kwenu, sasa dunia itawafundisha. Usifikiri watu wote wanaishi kwa uongo kama wewe na huyo Mwalimu wako anaekufundisha uongo TRIPLE H, eti "jiji la Ontario"? my rear.
 
Last edited by a moderator:
Ni sahihi kabisa lakini nilikuwa mafunzoni na hiyo ni kati ya 1996-1999 kupitia huko niliweza kujifunza kwa uhalisia wake nini maana ya kuabudu miungu na 'watu wa mataifa' nimejifunza vingi ambavyo vimenijenga kiimani zaidi na ndio maana kwenye mivurugano ya kidini hapa jamvini huwa nawaona ni wapuuzi tu wale wanaotoana jasho kudhihaki imani za wengine wakidhani wao ndio bora zaidi
Shukra .nimekuelewa vzr.kama ni hivyo hata mimi ningefanya.!
 
ff na mshana turudi kwenye mada, hayo mengine ni binafsi, yapelekeni pembeni` tunataka yenye manufaa
 
Eti jitokeze, kujitokeza ndiyo husemi uongo? Umejitokeza nini? kuwa verified ndiyo utambe, kwa sasa bado, huwaoni waliojitokeza? Unanchekesha!

Mara ngapi nimekubamba unadanganya humu na unaendelea kudanganya na umekiri unajifunza kudanganya.

Hapa ukidanganya na nikijuwa kama unadanganya nnakupa za uso "live" huyo ndiyo FaizaFoxy.

Lazima mjifunze mkipenda msipende na tunajuwa huwa mnajifanya mnajuwa huku mnajijuwa kuwa mnadanganya, sasa akitokea anaeujuwa ukweli na akawaumbua huwa mnatokwa povu na kukasirika sana. Kwangu mtatokwa povu kila siku mpaka mfikirie mara mbili mbili kabla hamjaandika uongo humu. Kumbuka hilo.

Maana nyinyi hamjafunzwa kwenu, sasa dunia itawafundisha. Usifikiri watu wote wanaishi kwa uongo kama wewe na huyo Mwalimu wako anaekufundisha uongo TRIPLE H, eti "jiji la Ontario"? my rear.

That's all you can say but whatever the case to me FF you are empty minded redhead
 
Last edited by a moderator:
That's all you can say but whatever the case to me FF you are empty minded redhead

Lugha za watu hizo jamani, msiwe na kiherehere nazo.

Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, hata hujuwi ukiandikacho kina maana gani, halafu wasiojuwa Kingereza wanakuona wa maana kweli hapo.

Amma kwa hakika unazidi kujidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga na uongo.
 
ff na mshana turudi kwenye mada, hayo mengine ni binafsi, yapelekeni pembeni` tunataka yenye manufaa

Hivi hapa kuna mada tena? wakati mleta mada kadanganya na tumembamba anadanganya! Hapa iliyobaki watu wapige porojo tu.

cc TRIPLE H
 
Lugha za watu hizo jamani, msiwe na kiherehere nazo.

Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, hata hujuwi ukiandikacho kina maana gani, halafu wasiojuwa Kingereza wanakuona wa maana kweli hapo.

Amma kwa hakika unazidi kujidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga na uongo.

Sawa Mrs punguani wahed jali yako mengine achana nayo!
 
Hapa kuna Jamii na hii ni Jamii forums. Ukileta uongo ujifikirie mara mbili, sitajali yangu ntaijali jamii kuwaeleza ukweli ni upi.

Hizo shule kama ziliwafundisha ujinga, kaa kwa utuvu uwe unapata darsa la FaizaFoxy kupitia humu humu JF.

Huwa sikisii.
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mrs punguani wahed jali yako mengine achana nayo!

Umahiri wako uko kwenye kukosoa hilo unaliweza, na takwimu za kwenye mtandao hapo ni fundi, kukimbia hoja na kutoa kejeli na vijembe vya kipuuzi hapo ndio bingwa kabisa umesoma lakini hujaelimika ff ndio maana unafikiri wewe ni kitovu cha dunia, mjuaji wewe, mshika dini wewe, msomi wewe,
Always una kazi moja tu kudandia post za wengine na kutoa makosa na takwimu za kuokota mtandaoni kinyume cha hapo huwezi kujenga hoja binafsi zaidi sana ya hayo niliyoyasema
 
Hapa kuna Jamii na hii ni Jamii forums. Ukileta uongo ujifikirie mara mbili, sitajali yangu ntaijali jamii kuwaeleza ukweli ni upi.

Hizo shule kama ziliwafundisha ujinga, kaa kwa utuvu uwe unapata darsa la FaizaFoxy kupitia humu humu JF.

Huwa sikisii.

Hahahahaaaa vituko havitakaa viishe duniani loh! Yani kupata mimi kupata darasa toka kwako wewe!!!!pyuuuu! What a joke hiki chaweza kuwa kichekesho cha mwaka
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa vituko havitakaa viishe duniani loh! Yani kupata mimi kupata darasa toka kwako wewe!!!!pyuuuu! What a joke hiki chaweza kuwa kichekesho cha mwaka

Kwangu hupati "darasa" unapata darsa. Au huijuwi tofauti ya darasa na darsa? nilishawahi kuielezea hiyo humu humu JF, kama hujaijuwa unaweza kurudia posts zangu za nyuma utapata faida.

Nnauhakika unafaidika sana kwa darsa langu. Na leo pia umeendelea kufaidika na darsa, sasa hivi unaelewa kuwa Ontario siyo jiji, Saskatchewan siyo Mji na Fort Hills siyo mji. Uliyajuwa yote hayo kabla ya mimi kuubumburusha uongo wa huyo Mwalimu wako?

Fikiri.
 
Nnauhakika unafaidika sana kwa darsa langu. Na leo pia umeendelea kufaidika na darsa, sasa hivi unaelewa kuwa Ontario siyo jiji, Saskatchewan siyo Mji na Fort Hills siyo mji. Uliyajuwa yote hayo kabla ya mimi kuumbumburusha uongo wa huyo Mwalimu wako?

Fikiri.

Never on earth trust me! Nina jinsi yangu ya kujifunza na niko wazi kuhusu hilo sifanyi kificho, ndio maana nikawa muwazi hapa kwenye somo la kupaa
Sihitaji kujua kama Ontario ni jiji au ni mji hicho sio kipaumbele changu, ningeamua kukariri majiji ya ulimwengu huu ningeshafanya hivyo
 
Ontario si jiji wala si mji, kumbuka hilo.

Huna ulijuwalo, kwani sijaona jipya lolote kutoka kwako, hilo pia kumbuka. Mpaka sasa niliouona kutoka kwako ni uongo mtupu, hilo ndilo ulijuwalo.

Huna jipya.
 
Back
Top Bottom