Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi wenye interest lakini tupo mbali na dsm tutapataje idea zenu?
Ngoja nione vile itakuwa hasa kama kutakuwa na jipya
Wacha uongo na porojo, kasome tena, labda hujanisoma vizuri, nimekukosoa pia kuhusu Fort Hills na kuhusu Saskatchewan, zote hizo ni "ukachanganya"? unataka kutuaminisha Ontario ni "typing error" ya Ottawa?? wapi na wapi?
Bado unaendeleza uongo! unasikitisha sana, Canada ina (Provinces) majimbo 10 (Kumi) na si matatu kama utakavyo wewe. Ontario ni jimbo la pili kwa ukubwa na ni lenye wakazi wengi zaidi katika Canada (most populous province).
Nnakushangaa sana unaposema "Kama siku hizi Ontario nalo ni jimbo hilo mi sijui naelezea mambo ya miaka ya '90.". Khaa, Ontario ni kati ya majimbo mawili ya kwanza Canada kuanzia mwaka 1841 zilipoungana Canada Magharibi (Ontario) na Canada Mashariki (Quebec). Sasa uwepo Canada 1990 usijuwe kama Ontario ni jimbo? hivi uongo huwa unawasaidia nini?
Hilo la Fort Hill ndiyo hunambii kitu nenda kafanye tena home work yako. Huko nnapajuwa zaidi ya nnavyoijuwa Tanzania. Kumbuka hilo.
Sasa nnamwaga mboga, ugali na nnapindua masufuria yote. Nnaumaliza huu ubishi na uongo wako na wa huyo mwanafunzi wako ajiitae Mshana Jr. akujuwe kuwa mwalimu wake u muongo na wote humu JF wakujuwe kuwa wewe ni muongo tena wa kutupwa jalalani, tena unafaa upigwe ban kwa uongo kama huu, wa kuidanganya jamii nzima ili iwe fundisho kwa wengine kama wewe:
Uongo mkubwa zaidi wa yote ni huo wa Hudson University. Hakuna kitu kama hicho Canada.
Hiyo Hudson University iko wapi Canada au kwengine kokote? unatazama vipindi vya TV na Cinema za Kimerekani unaona jina Hudson University ambayo ni University ya kwenye kuigiza na si ya kweli unakuja kutudanganya hapa?
Hivi huwa mnafikiri wote ni misukule humu ndani ya JF.
Wacha Uongo.
Wewe si punguani wahed, wewe ni punguani millioni.
UKWELI WA HUDSON UNIVERSITY
Hudson University is a fictional university frequently depicted in Law & Order and its spin-offs, and less frequently in many other television series, and in the DC Comics universe.[SUP][1][/SUP] It is generally described as being in New York City, which sits alongside the Hudson River. Contents
Television
Blue Bloods
Hudson University was mentioned in the CBS drama Blue Bloods in Season 2, Episode 14 when 3 protesters were arrested for assault on a police officer and also in Season 4, Episode 19 after an English Professor was found murdered.
Castle
Hudson University is also used in ABC's Castle starring Nathan Fillion in the episodes "The Mistress Always Spanks Twice," where the victim was a student at the fictional school; and "A Deadly Game," where the police encounter Ukrainian exchange students at Hudson who have bought counterfeit IDs. The school appears again in the episode "Close Encounters of the Murderous Kind," as the location of an altitude chamber. The school was mentioned in the episodes "Head Case" and "Dial M for Mayor" as the employer of the episodes' victims. It is alluded to in "The Fast and the Furriest" as the school of the victim, an evolutionary biology major who was killed while supposedly tracking Bigfoot. Most recently, in "Time Will Tell," the target of an assassin who may or may not have been from the future was a physics student at Hudson.
The Cosby Show
Hudson University is also used in the NBC sitcom The Cosby Show as the medical school Cliff Huxtable attended.
Degrassi: The Next Generation
Hudson University is also used in the Canadian teenage drama Degrassi: The Next Generation. One of the main characters, Jimmy Brooks, receives acceptance to the university's Law program.
Law & Order
Hudson University is a fictional university in New York City from the television series Law & Order and its spin-offs.
Over the years, Hudson University has seen several detectives visit its campus in search of suspects and witnesses, especially in cases that involve college students and professors. By using a fictional school rather than a real college, the writers of Law & Order are able to weave the university into several narratives without the fear of misrepresenting the rate of crime at one of New York's actual institutions of higher learning.
Hudson University is a composite of several colleges and universities located in New York City including Columbia University, Barnard College, Pratt Institute, Brooklyn College, College of Mount Saint Vincent, Hunter College, Lehman College, New York University, City College of New York, Queens College, Union Theological Seminary, General Theological Seminary, Pace University and Fordham University, all of which have been used as filming locations. For filming purposes, NYU is one of the least used locations in the series due to the high cost of filming in the university's buildings and surrounding area (one of Lennie Briscoe's daughters, Julia, was once said to be a film student at NYU, but the show never filmed there). The show has shown Hudson University on a map of New York City where the real life Yeshiva University is located, and a Season 20 episode, "Innocence", depicted a fictional "Hudson Innocence Project" modeled on the real life Innocence Project at the Benjamin N. Cardozo School of Law at Yeshiva University. That same episode also identified Executive Assistant District Attorney Michael Cutter as a graduate of Hudson's Law School, making him the first Law & Order prosecutor to have graduated from a fictional law school.
In Law & Order: Special Victims Unit, Detective Elliot Stabler's daughters Maureen and Kathleen are students at Hudson University. The seal of the university is visible in the background during a scene in the season 12 episode "Gray," indicating that the university was established in 1876.
The Secret Life of the American Teenager
The Secret Life of the American Teenager, which takes place in Valley Glen, California, depicts a Hudson University in New York, to which two of its main characters, Amy Juergens and Ben Boykewich, have been accepted.
Unforgettable
Hudson University was used on the CBS drama Unforgettable in the episode "Day of the Jackie," and again in the episode "Till Death," with scenes set in the campus bookstore and Dean's office.
The Flash
Hudson University was used in the Flash episode "Revenge of the Rogues," where it was used as the location of the creation of Project FIRESTORM.
Murder, She Wrote
In Murder, She Wrote Season 8 (1991-1992) Angela Lansbury as Jessica Fletcher heads off to New York to teach a criminology class at the fictional Hudson University. In episode 2 of Season 8 "Night Fears" Jessica is challenged by another professor to a contest to see who can solve a string of crimes taking place on the Hudson University campus.
Beauty & the Beast
In this CW television show, Hudson University is the fictional location in which J.T. Forbes works as a bio-chemical professor. The school logo is seen in episode 5 of Season 1 when J.T. was taking technological items from school campus.
Comics
Hudson University is a fictional location in the DC Universe. It was first mentioned in Batman comics in the late 1940s.[SUP][2][/SUP] Like many fictional locations in the comics, Hudson University's corresponding location in the real world is never made clear. According to the Atlas of the DC Universe (published by Mayfair Games), it is located in the fictional city of New Carthage, New York.
Notable former students at Hudson University include Dick Grayson/Robin (who only attended for one semester), Professor Martin Stein, Crystal Frost, Louise Lincoln, and Duela Dent. The father of Amy Winston was a professor of English at Hudson.
In New Adventures of Superboy #51 (1984), a teenaged Clark Kent is shown pondering whether to accept an offer to attend Hudson University, but eventually chooses Metropolis University in Metropolis instead.
References
Categories:
Ha ha haaaa, Lol. Ati namwaga mboga, ugali na masufuria napindua.
Umeona eeeh, halafu TRIPLE H na Mshana Jr. wanakuja kutudangaya hapa.
Hivi wanafikiri wote ni mambumbumbu kama wao humu JF? mimi huwa nawashangaa sana!
Allah Akubarik dada mwaga darsa hadi lieleweke!!Wanaudhi kupita kiasi kwa uongo wao, nilimuonesha uongo wake huyo ajiitae TRIPLE H ili ajirekebishe hakunielewa, bado anakuja na uongo mwingine wa kijinga kutetea uongo wake wa awali na mwanafunzi wake anaejifundisha ujinga na uongo kupitia kwake, ajiitae Mshana Jr. nae anatetea uongo kwa nguvu zake zote.
Imebidi nimwage vyote na masufuria nipinduwe!
Sasa waje kuutetea tena huu uongo wao, tuwaone.
Hakuna raha kama ukweli.
Mimi huwa nawaambia hawa, sisi huenda chuo kabla ya kuanza shule, hawanielewi.
Wanaudhi kupita kiasi kwa uongo wao, nilimuonesha uongo wake huyo ajiitae TRIPLE H ili ajirekebishe hakunielewa, bado anakuja na uongo mwingine wa kijinga kutetea uongo wake wa awali na mwanafunzi wake anaejifundisha ujinga na uongo kupitia kwake, ajiitae Mshana Jr. nae anatetea uongo kwa nguvu zake zote.

Mada ni kuhusu kupaa takwimu zako kaa nazo SIZIHITAJI FF mbona husikii wewe! Hivi ukoje? Unashupalia kudanganywa muda wote TRUST ME YOU ARE SO MEAN!!!
Kama ni uongo kwanini unashupaa na waongo!? You are nobody to me kejeli zako kwangu ni upuuzi mtupu, Kwakuwa hiyo ndio yako ya maisha Thinking that you are the best in everything is another kind of superiority complex, ugonjwa unaokutesa mno
Halafu nakukumbusha tena sijiiti Mshana Jr, hilo ndilo jina langu halisi na hata hiyo avatar ni picha yangu halisi! Usisahau hilo tena
Wanaudhi kupita kiasi kwa uongo wao, nilimuonesha uongo wake huyo ajiitae TRIPLE H ili ajirekebishe hakunielewa, bado anakuja na uongo mwingine wa kijinga kutetea uongo wake wa awali na mwanafunzi wake anaejifundisha ujinga na uongo kupitia kwake, ajiitae Mshana Jr. nae anatetea uongo kwa nguvu zake zote.
Imebidi nimwage vyote na masufuria nipinduwe!
Sasa waje kuutetea tena huu uongo wao, tuwaone.
Hakuna raha kama ukweli.
Mimi huwa nawaambia hawa, sisi huenda chuo kabla ya kuanza shule, hawanielewi.
Allah Akubarik dada mwaga darsa hadi lieleweke!!
Kabla ya kudanganya ungefanya kautafiti japo kiduchu. Hakuna jiji liitwalo "Ontario" katika Canada. Ontario ni jimbo ambalo ukubwa wake kwa eneo ni kuliko Tanzania nzima.
Saskatchewan pia ni jimbo na si mji.
Fort Hills pia si mji ni "project" ya kampuni iitwayo True North Energy inayojishughulisha na michanga ya mafuta (Oil Sands) (maarufu sana kama umeishi Canada), ipo katika jimbo la Alberta (ambalo nimeishi (jijini Calgary) kwa muda mrefu sana katika maisha yangu).
Nakuomba usitudanganye kama watoto wadogo, at least kwa hayo. Usifikiri Watanzania wote tu mazezeta.
Hakuna takwimu nilizoweka, unachosoma hukielewi?
Unazidi kuniaminisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga na uongo.
Nilikua nakufuatilia kwa kAribu mamy, sasa nimeelewa. Nakuunga mkono na miguu pia. NA conclusion yangu ni hii:
HAWA MAJAMAA NI WAONGO, KAMA WAMEWEZA KUDANGANYA KWA JAMBO DOGO TU LA UWEPO WA HUDSON UNIVERSITY, TUNAAMINI VIPI HAYO MENGINE WATUAMBIAYO?:what:. Probably na story yake ni ya kubuni pia.
NILIKUMBANA NA CHANGAMOTO KUBWA WAKATI WA BARIDI KALI!!!
Siku moja Yokho Zim alinipigia simu(siyo simu zenu za kisasa hizi, simu ya ku whistle kiganja cha mkono wa kuume kikasafirisha sauti yako) nimkute mji fulani unaitwa Churchill tulikuwa tunataka kuwadili wanawake wa kiblazili masista duu waliokuwa wakijiona matawi ya juu. Wakati huo mimi nilikuwa mjini Winnipeg umbali kama wa maili 50 hivi kutoka Churchill. Nikiwa angani anga likawa zito sana kwa sababu nyakati za baridi kuna theluji tupu, nilijisikia mzito sana nikaanguka chini kwa kishindo puuu. Kwa kuwa nilianguka ghafla na sikuwa nafahamu sana maeneo hayo nilikosa direction kabisa na walinzi wa usiku wa doria walikuja mbio kwa sababu ya kishindo. Niliamuru upepo wa kisulisuli uje kabla walinda doria hawajanifikia unichukue, ukatokea nikaondoka nao kwa kasi bila kujua naenda wapi kwa sababu nilisahau kuuambia. Nilitulia angani nikiwa tayari kwa lolote lkn kwa bahati nzuri nikatua salama nje ya viunga vya jiji la Montreal kandokando ya mto St. Lawrence. Nililazimika kujifanya mvuvi wasinistukie lakini siku hiyo sitaisahau kamwe maishani!
That's your perception na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo! Halafu sijui upstairs kwako kuna shida gani hivi MTU akikwambia hana time na wewe huelewi? Unataka mpaka upigiwe ngoma masikioni ndio uelewe?
Siwezi kuendelea kulumbana nawewe KWAHIYO POST YANGU YOYOTE KAA NAYO MBALI!!! KAMA UNA MASIKIO YA KUSIKIA SIKIA KAMA UNA AKILI YA KUELEWA ELEWA
Jipya lipo, wewe unaemtetea muongo huyo na unaejifunza kwake uongo, mjibie na hili:
By FaizaFoxy![]()
![]()