Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
That's your perception na uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo! Halafu sijui upstairs kwako kuna shida gani hivi MTU akikwambia hana time na wewe huelewi? Unataka mpaka upigiwe ngoma masikioni ndio uelewe?
Siwezi kuendelea kulumbana nawewe KWAHIYO POST YANGU YOYOTE KAA NAYO MBALI!!! KAMA UNA MASIKIO YA KUSIKIA SIKIA KAMA UNA AKILI YA KUELEWA ELEWA
Labda Niseme Hivi mshana jr Kaona Kitu Kingine Tofauti Na Hiyo Mnayoona Miji Ya Ontario Hudson chuo na nini!! huwenda yeye hapa anachotafiti Ni How To Learn From TRIPLE H on How To Fly, Kujifunza Sio Vibaya Japo Kadanganya Danganya Lakini There Is Something Behind His Lies Kama Kudanganywa Watu Wanadanganywa Sana Mimi Pia Niliwahi Kudanganywa Na Mama Kuwa Nioge Twende Safari Lakini Nikaoga Hakukuwa Na Safari Nilikuwa Under Five Years.... Kwani Can You Count How Many Times Ulishawahi Kudanganywa? ni Mara Nyingi..
we Dont Need Someones Face Or Faith All We Need Is His Knowledge... Tukiona Kitu Kina Faida Tunatake Tukiona Hasara Tunamuachia Ya Ngoswe Tunamuachia Ngoswe.....!!!
"Rakims"
Last edited by a moderator:
