Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Wasanii ndani ya jumba la sanaa be warned na fiction or science fiction film
 
= Msomi wa chuo huyo jamani hata kuandika Brazil hajui.

Winnipeg na Churchill ni zaidi ya Kilomita 1,000

Huyu mtu kuna kila uwezekano amma screws zake zipo too tight au too loose. Si bure.

Kwikwikwikwi hahaaaaaaaaaa ina Maana hata me nimeishia standard 7 nina afadhari FaizaFoxy
 
= Msomi wa chuo huyo jamani hata kuandika Brazil hajui.

Winnipeg na Churchill ni zaidi ya Kilomita 1,000

Huyu mtu kuna kila uwezekano amma screws zake zipo too tight au too loose. Si bure.

Na saa hizi jiiiiiii, kapotelea kwenye kiza kinene. Akiibuka atakuambia ilikuwa ni typing error. 😀😀
 
Nilikua nakufuatilia kwa kAribu mamy, sasa nimeelewa. Nakuunga mkono na miguu pia. NA conclusion yangu ni hii:
HAWA MAJAMAA NI WAONGO, KAMA WAMEWEZA KUDANGANYA KWA JAMBO DOGO TU LA UWEPO WA HUDSON UNIVERSITY, TUNAAMINI VIPI HAYO MENGINE WATUAMBIAYO?:what:. Probably na story yake ni ya kubuni pia.

Mkuu sie wengine ndo tulikuwa tushapakiwa garini hatujui hata twapelekwa wapi. Lol

Thanks to da Fayza, na jamaa kweli hajarudi nafkiri anasoma kimya kimya tu hapa
 
Mimi nipo tayari kukutana na mtu yoyote mwenye uwezo huu wa kuruka. Nijulishe saa ngapi utatua hapa Tokyo, Japan. Njoo Ueno Park, kuna nafasi kubwa ya kutua 🙂

Ukionyesha huo ujuzi unashuka kutoka angani huko nakurikodi kwenye camera mpaka unatua Ueno Park, nitakupa $10,000 hapo hapo ulipotuwa.

Hii itawasaidieni kuwathibitishia kuwa nyinyi siyo waongo na kweli mna uwezo huu.

Hii offer haina expiry date. Ruka kutoka Tanzania na njoo uchukue pesa yako Ueno Park, Tokyo, Japan. Nimekutumia ramani kwa manufaa yako.

ImageUploadedByJamiiForums1427117115.560721.jpg
 
Kupaa upae kwa siri, kuacha utukusanye mkutano, kama kweli ulikuwa unapaa, basi kupaa kumekuathiri sana.

kwa habari ya kuwagonga madem, utauza saana.

Hahaha mkuu angesema anafungua chuo cha kufundisha watu kuwagonga madem wakali wanao watamani, angekuwa bilionea wa kwanza tz
 
af kuna muda nikimkumbuka tu mtu nakuwa kama ninamwita ama anipigie simu ama aje anitembelee dk chache mbelen
hali hii imenifanya kila nikitaka kumuona mtu basi nasema akilin mwangu funan anipigie kweli atapiga

nimewaza hii ni aina gani ya supernatural power nikaamua kwenda kuisoma ndipo nilipogundua ni aina mojawapo ambayo ina deal zaid na utoaji wa amri zisizo na mashaka ndani yake na kinachofanya yatekelezeke ni ile imani kwamba nisemapo hivyo huwa sina kubadilika ama kuwaza zaid ya kuona litatendeka tuuu.

kuna nguvu kubwa sana katika kuamini jambo bila kuwepo na hata chembe ya shaka na huu ndio ufungua mkubwa sana kwenye kupata mengine unayotaka kupata.

majuzi nilijisemea nimechoka kufanya kazi ninapofanya nataka nibadili taasisi. i just sat down and say it inside me bila wasiwasi kabisa. next day i was called kwenye meeting nikakutana na watu tofauti tukaongea nikasema nataka nibadili kazi huwez amini niliambiwa njoo kwetu mtu wa aina yako ameondoka so kuna vacant position. nilienda bila hata interview nikapewa nafasi.

hivi toka mwez huu wa 3 niko kwenye kazi taasisi tofauti. kisa hiki kinanifanya nione kwamba imani ndio ufunguo w ahaya yote. na ukiwa na imani tayari unafungua hata usivyoweza kudhani. mie kila nilitakalo huwa naliona kwa positive mind tu since nigundue hayo na ile positivity ina ni drive kwenye good ends always

Hebu taka kuwa tajiri zaidi ya bakhresa tuone
 
Bado kimya ......Fix tupu. Eti wana uwezo wa kupaa!! Labda kwa nguvu za ganja!

Mmekuwa Superman?
 
:fear::fear:mmmh..hizo story tu..mimi hizo meditation mnafundisha tu najaribu...naona hakuna ukweli huyuu nae anapaa physically???
ulongoo
 
Naomba tu niwaambie kuwa haya mambo yapo! Mimi niko kwenye meditation kwa miaka 18 karibia sasa! Cha muhimu tusihukumu kuna elimu kubwa sana huku ambayo watu hawaifahamu ELIMU YA UTAMBUZI
Haya mambo hujifunzi overnight yanataka muda kujitoa na kufuata masharti ni practice ngumu, si kila MTU anaweza Ku achieve! Mkipenda tunaweza kujadili hili bila kuingiza mambo ya locations na muda kwamba nani alikuwa wapi na alidanganya nini.Hakuna ambaye sio muongo hapa duniani watu wanadanganya kila siku, hebu tubaki kwenye kiini cha post tuone kama tunaweza kushare maarifa
 
Wabongo bwana naona wengi wetu ni akina tomaso mnapinga bila fact me naamini yote yawezekana hapa duniani
 
Naomba tu niwaambie kuwa haya mambo yapo! Mimi niko kwenye meditation kwa miaka 18 karibia sasa! Cha muhimu tusihukumu kuna elimu kubwa sana huku ambayo watu hawaifahamu ELIMU YA UTAMBUZI
Haya mambo hujifunzi overnight yanataka muda kujitoa na kufuata masharti ni practice ngumu, si kila MTU anaweza Ku achieve! Mkipenda tunaweza kujadili hili bila kuingiza mambo ya locations na muda kwamba nani alikuwa wapi na alidanganya nini.Hakuna ambaye sio muongo hapa duniani watu wanadanganya kila siku, hebu tubaki kwenye kiini cha post tuone kama tunaweza kushare maarifa

Mkuu Mshana Jr., meditation ipo na watu wengi wanafanya mazoezi hayo hasa Asia, nyumbani kwa Yoga. Kuna center nyingi za meditation Japan, India, China (hasa Tibet) na Marekani ( biashara kubwa sana ).

Lakini, ni tofauti na kusema kuwa mtu ana uwezo wa kuruka kama Superman. Kuna meditation na kuna uwongo, hasa pale ambapo mtu unajuwa kabisa anadanganya kama kuita Ontario mji, kudanganya jina la Chuo na la Mjapani. Hadithi ilikuwa na matundo mengi sana.

Najua watu wengi ni waongo. Ndio maana, offer yangu ipo pale pale. Mtu yoyote atakaenionyesha ana uwezo wa kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama anavyodai yule jamaa, nitamzawadia US$10,000.
Hii itaonyesha kama huu uwezo kweli upo au ni hadithi za vijiweni.

Onyesha uwezo (siyo wewe tu), funga midomo ya watu na thibitisha uwezo wako kwa jamii. Pokea zawadi. Kung'ang'ania kuwa uwezo wa kupaa upo bila ya kuthibitisha kwa kitendo ni kuongeza uwongo.

Action speaks better than words. Don't you agree?
 
Last edited by a moderator:

Najua watu wengi ni waongo. Ndio maana, offer yangu ipo pale pale. Mtu yoyote atakaenionyesha ana uwezo wa kuruka kutoka nchi moja kwenda nyingine kama anavyodai yule jamaa, nitamzawadia US$10,000.
Hii itaonyesha kama huu uwezo kweli upo au ni hadithi za vijiweni.

Onyesha uwezo (siyo wewe tu), funga mdomo wa watu na thibitisha uwezo wako kwa jamii. Pokea zawadi.

Action speaks better than words. Don't you agree?

Tutakuamini vipi mkuu..toa kwanza advance($ 5000)
 
Last edited by a moderator:
Unataka nitoe advance bila ya kithibitisho chochote? Unafikiri mimi nimekuja mjini na mwenge?
kuna walioletwa town na gari la ng'ombe ila still ni wajanja....sasa na yeye atakuamini vipi??
 
Mkuu Mshana Jr., meditation ipo na watu wengi wanafanya mazoezi hayo hasa Asia, nyumbani kwa Yoga. Kuna center nyingi za meditation Japan, India, China (hasa Tibet) na Marekani ( biashara kubwa sana ).

Lakini, ni tofauti na kusema kuwa mtu ana uwezo wa kuruka kama Superman. Kuna meditation na kuna uwongo, hasa pale ambapo mtu unajuwa kabisa anadanganya kama kuita Ontario mji, kudanganya jina la Chuo na la Mjapani. Hadithi ilikuwa na matundo mengi sana.

Najua watu wengi ni waongo. Ndio maana, offer yangu ipo pale pale. Mtu yoyote atakaenionyesha ana uwezo wa kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama anavyodai yule jamaa, nitamzawadia US$10,000.
Hii itaonyesha kama huu uwezo kweli upo au ni hadithi za vijiweni.

Onyesha uwezo (siyo wewe tu), funga midomo ya watu na thibitisha uwezo wako kwa jamii. Pokea zawadi. Kung'ang'ania kuwa uwezo wa kupaa upo bila ya kuthibitisha kwa kitendo ni kuongeza uwongo.

Action speaks better than words. Don't you agree?
Tokyo40 nakubaliana nawewe kabisa, ndo maana nikasema tuachane nanani alidanganya nini, tubaki na topic ya kupaa, hapa ndio penye hoja
Kimsingi meditators hawapai bali wanahama kimwili, wanaopaa ni wachawi na wanga na wale wengine wote wanaomiliki nguvu nyingine zinazoambatana na ibilisi

Meditation ni pure natural practice ambayo huufanya ubongo wa mwanadamu kutakasika toka material world, kuondoa delusions na illusions zote zinazozonga ubongo

Wengi tunaishi kwenye dunia ya wakati, muda mahali na vitu! Tunashindwa kuukomboa wakati kwakuwa tunadhani kuwa kila kitu kitadumu milele BUT for sure tunaishi kwenye dunia ya impermanence,

Wengi tunaishi kwenye dunia ya kutaka hiki na kuchukia kile kile ukitakacho unataka udumu nacho kile usichokitaka unataka kiondoke haraka ikitokea kinyume ni maumivu msongo wa mawazo nk

Kwahiyo ukishafanya meditation ukafikia japo robo yake unaweza kuwa na powerful mind ambayo unaweza kufanya mambo mengi likiwemo hilo la kuhama mwili, hili lipo tumejaribu na tukaona inawezekana
 
Mkuu Mshana Jr., hapo nakubaliana na wewe. Watu wanaofanya meditation wana afya bora zaidi. Baadhi ya faida yake ni kupunguza stress, kusoma vizuri darasani na kupunguza kuumwa kwa kuzidisha kinga mwilini.

Hayo mambo ya kupaa ni kitu kingine kabisa na meditation.
 
Last edited by a moderator:
kuna walioletwa town na gari la ng'ombe ila still ni wajanja....sasa na yeye atakuamini vipi??

Mkuu ray lee.

Action speaks better than words.

Unajuwa maana yake?

Wanaofahamu, wameshafahamu.

Kama wewe una ujuzi wa kuruka kama Superman, uwanja ni wako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom