Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

Wema sasa utulie tu,
kwani mapenzi ni moyo kwamba huwezi kupumzika?
Umeshayafanya sana,sasa jipe likizo fanya mambo yako mengine,usijione mtoto,
wewe ni mtu mzima hebu kaa ujitafakari.
Pia kubali ushauri wa watu wazima.
 
Mchagua nazi.... jua limeshaanza kuzama akili zinarudi yeye alijua umaarufu wa milele hahaaa wema cha wote.
 
Back
Top Bottom