Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

Wema sasa utulie tu,
kwani mapenzi ni moyo kwamba huwezi kupumzika?
Umeshayafanya sana,sasa jipe likizo fanya mambo yako mengine,usijione mtoto,
wewe ni mtu mzima hebu kaa ujitafakari.
Pia kubali ushauri wa watu wazima.
 
Vipi jaluo nyeupe mchukue wema. Wewe mwenyewe sharobaro. Ingima lakini? Wach mandalo?

ahahaaaa! angima, hiyo mashine kubwa inahitaji leseni class 'c plain'
 
Mchagua nazi.... jua limeshaanza kuzama akili zinarudi yeye alijua umaarufu wa milele hahaaa wema cha wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…