Heeeeeeeeeeee unajua ile siku ya 2011 ilipoanza nilikuwa kwenye mechi sasa ghafla nikastop na kuanza kushangilia mwaka mpya, huenda na hilo pia eti eeeehhhh?
mmmhh hilo kosa takatifu ..
huwezi stop mechi mpaka refa aseme..
unaniumbua mtu wangu...
Afrodenzi toa msaada ujue kuambiwa na mapenzi ya kichina kimeniuma sana mimi, au kuna mapenzi gani nimpe jamani? Maana neno likiwa na ......china...mie silipendi sasa hivi...
duh we mrembo hulali? nakusubiri.
mmmhhh vipi mambo dear..
mie silalagi mchana lol
mi nadhani anaona mapenzi yako si ya kweli ni kama una copy kutoka mahali..
mfanyie au mpe kitu ambacho ulimpa/mfanyia mara ya kwanza mlipokutana..
kumwonyeshea kwamba wewe bado ni yule yule aliyekupenda mwanzoni..
ka ulimpeka holida zanzibar basi fanya hivo,
ka ulimpikia na kuremba meza ajili yake rudia hilo tena,,,
halafu kutokea hapo unaanza kuongeza mdogo mdogo tu..
usiache kufanya vitu vitamu ukianza otherwise atadhani umerudi kwa wa CHINA ..
AD
Na copy? wewe unaongeza maumivu kwa kidonda...kwa hiyo na copy na kupaste duh kweli mimi mapenzi yananipa shida...
unajua kijikata kidole unaweka chumvi ili kiume zaidi lakini kitapona na kukauka haraka...
haya fanya vitu kama kweli vinatoka moyoni usifanye kwa sababu umeona kwenye JF hahahah lol
mie leo nakupa waziwazi sababu nakupenda lol
Humfikishi kwenye kilele kama yule jamaa yake wa pembeni anayeishi sturtgat. ni PM nikuhabarishe zaidi umbea mara moja kwa mwaka si mbaya.
hewala mkuu mie nilidhani anamaanisha hivyo lkn mbona mie nampenda kinoma tuuu?au anataka mambo ya maua maana mie sijawahi kununua ua na kumpa....
Leo nimeambiwa eti mie naiga kupenda(Mapenzi yangu eti ya Kichina), hivi kuna wanaoiga kupenda Jamani? Kuna mapenzi ya Kichina siku hizi?...Sasa nataka kuacha kupenda, Je, nifanyaje sasa kwa wife wangu?Nisipopenda ndo nimchukie au tuonane kama tupo tupo tuuuuuuuuuu?
Uvuvuzela huo...jipange:sleep:Leo nimeambiwa eti mie naiga kupenda(Mapenzi yangu eti ya Kichina), hivi kuna wanaoiga kupenda Jamani? Kuna mapenzi ya Kichina siku hizi?...Sasa nataka kuacha kupenda, Je, nifanyaje sasa kwa wife wangu?Nisipopenda ndo nimchukie au tuonane kama tupo tupo tuuuuuuuuuu?
Heeeeeeeeeeee unajua ile siku ya 2011 ilipoanza nilikuwa kwenye mechi sasa ghafla nikastop na kuanza kushangilia mwaka mpya, huenda na hilo pia eti eeeehhhh?
Hawezi jua yako ni fake kama hayajui original........very simple,wapo waliomuonyesha hayo original kwake au mashosti wanaopendwa kwa staili anayofikiri ni original;my advice,kama bado unamuhitaji muulize unapokosea na anataka umpendeje na we uone kama unaweza mpenda atakavyo na ujitahidi,kama hataki ushazidiwa kete na watoto wa mujini,tulia aende akapate hayo original.akirudi utaona umpokee au uendelee na maisha yako,asiporudi ndo ilipangwa iishie hivyo,haikuwa riziki yako ya milele.
hahahah
leo umekomeshwa
pole
Uvuvuzela huo...jipange:sleep:
Unaumwa wewe!!! Kupiga game na kushangilia mwaka mpya kipi bora? ndiyo maana Mapenzi yako sio ya kweli ( ya kichina)!!! Nyama weee!!!