Sitaki Tena

thax dada ni upuuzi tu huu..kwanza amezini ,haoni hata aibu..eti kangatwa angemla kabisa hicho kipochi..kiishe tuone atakuwa anasimulia nini

Umechange user name bidada?
Surely you pillows must be very lucky to have ur warmth every nite! LOL
 
Umechange user name bidada?
Surely you pillows must be very lucky to have ur warmth every nite! LOL
ahahaaa thax kwa wishes dear
nimechange bwana kila kitu i want to be new!
 
Kwa kweli ilikuwa ni mara ya kwanza na nilidhani kuna raha ambayo wenzangu wanapata, kumbe maumivu matupu!!! Ngoja niuguze haya majeraha baadaye nitafute uwezekano wa kuwa mtawa, maana sitaki mateso ya aina hiyo yanipate tena.
ni maumbile tu ilikuwa mara ya kwanza hata wenzio tuliumia hivohivo lakini kiwango cha maumivu inategemea mwanaume yuko gentle kiasi gani na ufahamu wake jinsi ya kukuandaa kisaikolojia na kimwili!hilo tedno sio baya mwaya though najua first impression stays!jiuguze na wala usimchukie huyo mwanaume inawezekana na yeye hakutegeme kuwa uko hivyo so ilikuwa ni shock!so jiuguze taratibu kisha next tym mweleze awe gentle utainjoy,love making ni raha mydear!yani dah acha kabisa uklichukia hili tendo utakuwa unajikosesha raha ya dunia bana!
 
chezeya wa kunyumba wewe!big up kwa huyo mdada!
 
Acha ushamba mtoto wa kike ulitakiwa kuongea wakati wa majambo. Unatakiwa umueleze mwenzio aendeshe taratibu au kwa kasi ya kiasi unachokitaka, anapoifikia kasi unayoitaka unamwambia aendeshe hivyo hivyo. Na kwanini ukubali akuume, unatakiwa umuelekeze anyonye taratibu au achezee kwa ulimi tuu. Makosa ni yako ukienda polisi watakuweka ndani mwenyewe kwa kukaa kimya bila kutoa maelekezo kwa dereva wako na kwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa, kwasababu kwa maelezo yako inaonyesha wewe hukua bikra, unauzoefu wa kutosha wa kuivunja amri ya sita.
 
lucymito,wewe huzini?ila jamani issue nyengine au labda mimi ni wa kizamani,kwangu mimi nisingeweza kuleta humu
Usingeleta humu kwa kuwa wewe ni mzoefu. Mimi yamenishinda maana sijawahi kuyaona ya hivyo.
 
lucymito,wewe huzini?ila jamani issue nyengine au labda mimi ni wa kizamani,kwangu mimi nisingeweza kuleta humu
teh teh hata sijui dear! kwani inamsaidia nini hata labda kupata pf3
 
Kwa kweli ilikuwa ni mara ya kwanza na nilidhani kuna raha ambayo wenzangu wanapata, kumbe maumivu matupu!!! Ngoja niuguze haya majeraha baadaye nitafute uwezekano wa kuwa mtawa, maana sitaki mateso ya aina hiyo yanipate tena.
alokuambia ni raha nani?
 
Vumilia tu hiyo inaitwa fungulia njia, ukiiendekeza unaweza ukajikuta unapractise celibacy kiukweli. We ngoja siku mbili utaanza kukumbuka na vizurivizuri vilivotekea mwenyewe utakipeleka
 
Aaaah Kumbe ww ndo yule mgonjwa uliyekuja kwenye consultation room yangu umeng'atwa matiti weye.... Mhh..! kwa kukusumba basi wewe rudi tu nitakutibu sababu nawe ni member wa JF.

Na matiti yako kweli yalivyokua yanavutia na mwanamke usivyokua na haya ulivyokua unanivulia kunionyesha we achaa...!

Ulikua wataka kuntia kwenye balaaa weye..
 
ahahaaa thax kwa wishes dear
nimechange bwana kila kitu i want to be new!

Aaah....! kumbe ww ndo ulikua @smile.. sasa nikawa najiuliza ndo ww au nafananisha avatar.

Imetulia hiyo
.

Naona hata @smile nayo imetema... Confirmed
 
Chezea GANZI za miaka miwili weye:eek2:..? naamini njemba liliacha"kikombe" mtungini:loco:. ila historia huonesha wengi wa aina yenu mnarudisha majeshi..visirani vikisha utamtafuta tu..!!:evil:
 
Chezea GANZI za miaka miwili weye:eek2:..? naamini njemba liliacha"kikombe" mtungini:loco:. ila historia huonesha wengi wa aina yenu mnarudisha majeshi..visirani vikisha utamtafuta tu..!!:evil:
Najiuliza kama njemba ni memba la hapa JF, na demu ndo kishaharibu hivi, akijirudisha tena si atang'atilia mbali kisim.i akitafune kama mshikaki?

Kuna mambo mengine si ya kuleta humu jamami. Hapa na-concur na kisukari.
 
Last edited by a moderator:
Umechange user name bidada?
Surely you pillows must be very lucky to have ur warmth every nite! LOL
Nlikuwa sijakuelewa mpaka nlipotazama avatar.... mwanamke mfukunyuku wewe, khaa! Au ufunyuku nao sunna? Hahahaha!
 
Hhahahahahaahaaaaaaaaaaaa! vita ni vita tu hata kama ni ya mabua Bhoti! pole sana ila mpe second chance na mwambie afanye taratibu, hutoumia tena.
 
Nlikuwa sijakuelewa mpaka nlipotazama avatar.... mwanamke mfukunyuku wewe, khaa! Au ufunyuku nao sunna? Hahahaha!

Jamani Asprin mimi nimefanya nini sasa? Au hukumuelewa smile also known as Luckymito?
 
Last edited by a moderator:
Jamani Asprin mimi nimefanya nini sasa? Au hukumuelewa smile also known as Luckymito?
Hii inaitwa name calling, ni kinyume na sheria na kanuni za JF; akikusoma Paw hapa unaenda Lupango. Usijali, sijam-mention, nimebold tu jina lake. Nikikukosa wewe hapa jamvini nakosa appetaiti ya ugali. Na mimi nisipokula ugali napata minyoo. Na nikipata minyoo sili kitimoto, na nsipokula kitimoto napungukiwa na kinga mwilini kwakuwa kitimoto ni ARV.
 
kumbe miaka miwili yote ulikua unakigawa somewhere else?...afu unamuita mchumba!!uyo mwanume atakua *****...na mlienda kwanza angaza?
maana mpaka mtu unadai anatwanga ovyo ovyo unareference za waume kibao huko nyuma..........kwa mtu bikra huwez jua mtwango wa ovyo wala wa utamu...wewe umekubuhu ila ulimbania kaka wa watu bure!! anyway mpe tena..itakua ukame ulikua unamsumbua.........njaa ya k usiombe!!!!!
 
nitakupa like baadae umeandika sense.
Mi huwa naona kama vile huwa hatutendi haki kuanika mambo yetu binafsi hasa yanayohusu watu wengine walivyotutendea. Anonymity inatupeleka pabaya hebu tuchukulie mfano huyo mtu anapita hapa anasoma hii atajisikiaje mpenzi wake kumuanika public.
Tubadilikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…