Pole
ila sidhani kwamba hiyo bad sex ya mara moja inatosha kumdisqualify mtu kabisa unless kuna matatizo mengine. Hivi how was you 1st day, were u the expert you are today? whatif huyo alokuanza angekutema kama unavyotaka kumtema huyu ungejisikiaje?
nakushauri, ongea naye kwamba love making has to be slowly na inakuwa nzuri zaidi kama unakuwa unaisikilizia na si kula kwa pupa. mfundishe taratibu, asipofundishika ndipo uchukue hayo maamuzi unayotaka kuchukua.
mwisho, sidhani kama hili lilifaa kuleta jamvini (kwa mtazamo wangu) unless unajisikia vyema kwa kumsagia huyo mwanaume aliyeshindwa kumeet your expectation; fikiria upande wa pili, mkaka aje humu na thread ya kumsagia mdada kuwa alikuwa na shimo kubwa au alikua anatoa harufu, nina imani nawe ungeshirikiana nami kumsema huyo mkaka asivyo na staha. So tuheshimiane na kusaidiana, kwani wote hatujazaliwa tunajua!