Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Habari. Uzi mfupi wa taarifa.
Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..
Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.
Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.
Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.
Malipo hapa hapa.