Sitakubali kuona Mwizi au Kibaka yeyote apigwe hivi hivi..

Sitakubali kuona Mwizi au Kibaka yeyote apigwe hivi hivi..

Habari. Uzi mfupi wa taarifa.

Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..

Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.

Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.

Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.

Malipo hapa hapa.
Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.[emoji3064] pole sana
 
Huwa inasemwa "kama hujawahi kuibiwa huwezi kuujua uchungu wa kuibiwa" ukweli sijawahi kuibiwa so siujui uchungu wake ila nimewahi kuokoa mwizi (haikuthibitishwa kama ni mwizi) aliyekuwa anagombaniwa.

Pole sana mkuu.
 
Mim waliniibia pale mawasiliano stata ya scania na vitu kama vya milioon mbili HV ,

Shida ya kuwachoma Moto hatuna uajsiri huo hata kumkata tu na panga siwezi katu ,nimekamata mwinz red handed Ila niliashia tu kumpiga piga na Kisha nikawachia police kazi na kesi hyo alikuja kutoka baad Aya kukosekana kwa ushahidi
Daah,mm nimeshawahi kushiriki kukata kichwa asee,ila huruma huja kidogo

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Yupo jela sahivi. Na CCTV imewaonesha. Mlinzi ndio msimamizi wa fremu. Ngoja ale uji wa jela kwanza.
Alishirikiana na wezi?
Hamuwezu tumia hizo footage kuwadaka wezi?

Pole dogo
 
Samehe saba mara sabini, Songa mbele huku Ukimtanguliza Mungu akupe mwanzo mpya ulio bora zaidi, Ni kweli inauma lakini sana lakini huna haja ya kuhukum , hiyo ni kazi ya Mungu.
 
Habari. Uzi mfupi wa taarifa.

Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..

Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.

Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.

Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.

Malipo hapa hapa.
Wana account jf sasa. ?
 
Back
Top Bottom