Dah😬Habari. Uzi mfupi wa taarifa.
Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..
Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.
Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.
Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.
Malipo hapa hapa.
Mkuu pesa na mali hutafutwa, kikubwa upo hai jambo kubwa ni kuomba Neema zake,Habari. Uzi mfupi wa taarifa.
Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..
Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.
Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.
Usiku wa jana mmenirudisha nyuma hatua 2,000 yaani kaduka nilikoangaika kukajenga kwa miaka 3 mmeacha viti, meza, na fenicha zingine tu.
Malipo hapa hapa.
Msamehe TU mkuu ndio Jambo jemaNikikamata mwizi wala simpigi namuweka mdomo wake kwenye exhaust..(bomba la moshi) then napiga resi kadhaa then namuacha..