Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Hili nalithibitisha kwa asilimia 100%, ni moyo wa kipekee sana!Sisi wakunga wa kiume tuna mioyo mizuri sana na pia tunakijua tunachokifanya hata ungekua wewe unacheza uwanja wa nyumbani lazima ufanye vizuri tu.
Mwenzako alikua anafanya kazi ya kuandaa report yake ale marks wewe unasema moyo waa kujitoa wakati umemkuta mtu yupo field hivi unaelewa nini maana ya field? Mafunzo kwa vitendoWakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo.
Nashukuru kwa niaba ya wa kunga wote wa kiume duniani🙏Hili nalithibitisha kwa asilimia 100%, ni moyo wa kipekee sana!
Wewe mlokole una mapepo omba tukuombee
Sidhani kama ilikua ni marks, mimi sikua mgonjwa wake. Na hata kama, hakuwa na haja ya kunishika mkono na kunitia moyo kwa namna ile.Mwenzako alikua anafanya kazi ya kuandaa report yake ale marks wewe unasema moyo waa kujitoa wakati umemkuta mtu yupo field hivi unaelewa nini maana ya field? Mafunzo kwa vitendo
Endelea kumuombea baraka ili aendelee kuwa faraja kwa wahitaji wanaopita katika mikono yake.Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo.
Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu (anxiety) nikawa nalia nasema “naogopa”.
Hakunifokea wala kuniongelesha kwa ukali na alielewa situation yangu (nilienda hospitali kliniki yangu ya mwisho kumbe tayari nimeshaingia kwenye labour bila kujijua, nikabaki hospitali kujifungua bila kutarajia)! Sitasahau alivyonicomfort na kubaki na mimi wodini mpaka mume na mama yangu walivyofika. Na aliendelea kubaki wodini mpaka nilivyojifungua masaa mawili baadaye.
View attachment 3276598
Ule moyo wake ulinigusa sana, huwa namkumbuka mara kwa mara na kumuombea mema. Sikuwahi kukutana naye tena baada ya kujifungua na sijui yuko wapi. Natumai popote alipo anazidi kubarikiwa sana.
Nani alikutendea wema kwenye kipindi chako cha uhitaji hautakuja kumsahau?
Karibu tena ndugu yangu 😍Kumbe ni wewe 😍
Asante sana, uzidi kubarikiwa 😅
Nakubali sana madame mzuri .Nitarudi shemeji.
Ila jua kuwa wema ni akiba nzuri mno
Huwa ninamuombea kila ninapomkumbuka, yeye na watoa huduma za afya wote wanaofanya kazi with compassion.Endelea kumuombea baraka ili aendelee kuwa faraja kwa wahitaji wanaopita katika mikono yake.
Agiza chochote bill juu yanguNashukuru kwa niaba ya wa kunga wote wa kiume duniani🙏