min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nakusubiri kanyamwi kanguāŗļøNitakupigia kaminini miiš
Nakusubiri kanyamwi kanguāŗļøNitakupigia kaminini miiš
Nataka kuthibitisha kama uliyoyanenaNakusubiri kanyamwi kanguāŗļø
Naam, kila mtu, kwa nafasi yake, popote pale ulipo, tenda kama vile ungependa utendewe wewe ama ndugu/mwenza/mtoto/rafiki yako wa karibu.Ni kweli kabisa, compassion mtu akiwa vulnerable inaacha alama kubwa sana.
Tunawashukuru for your service!
May be he was an angel in human form.Sidhani kama ilikua ni marks, mimi sikua mgonjwa wake. Na hata kama, hakuwa na haja ya kunishika mkono na kunitia moyo kwa namna ile.
View attachment 3276600
Nilikua na nesi na daktari wangu ambao walikuja baadaye. Shift yake iliisha ila alibaki almost 3 hours more (labda alitaka kujifunza, sijui) ninachojua alikua mwema sana kwangu.
Hata kama. Kwani ni yeye tu anaye fanya field? Mbona wengine wakiwa hiyo field wanafanya vitu vya hovyo. Acha kijana apewe sifa na shukran anazostahili. Bahati mbaya hakutajwa jina.Mwenzako alikua anafanya kazi ya kuandaa report yake ale marks wewe unasema moyo waa kujitoa wakati umemkuta mtu yupo field hivi unaelewa nini maana ya field? Mafunzo kwa vitendo