Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kabisa, tuendelee kuwasemea mema!Watu wa hivyo huwa hawapungukiwi ba hata wakikutana na changamoto njia ya kutokea inatokeza mapema kwa sababu ya duwa nzuri zinazowafuatia nyuma yao kwa wema na huduma nzuri walio toa
Sisi wakunga wa kiume tuna mioyo mizuri sana na pia tunakijua tunachokifanya hata ungekua wewe unacheza uwanja wa nyumbani lazima ufanye vizuri tu.
Mama mchunga naagiza bia halafu sitaki utani🤗Agiza chochote bill juu yangu
Tena wewe, kwa hapo sina kipingamizi kazi naifanya😊Naomba unizalishe.
Tena wewe, kwa hapo sina kipingamizi kazi naifanya😊
Wabarikiwe sanaHili nalithibitisha kwa asilimia 100%, ni moyo wa kipekee sana!
Ni mimi hapa pole sana kwa hali ulopitiaWakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo.
Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu (anxiety) nikawa nalia nasema “naogopa”.
Hakunifokea wala kuniongelesha kwa ukali na alielewa situation yangu (nilienda hospitali kliniki yangu ya mwisho kumbe tayari nimeshaingia kwenye labour bila kujijua, nikabaki hospitali kujifungua bila kutarajia)! Sitasahau alivyonicomfort na kubaki na mimi wodini mpaka mume na mama yangu walivyofika. Na aliendelea kubaki wodini mpaka nilivyojifungua masaa mawili baadaye.
View attachment 3276598
Ule moyo wake ulinigusa sana, huwa namkumbuka mara kwa mara na kumuombea mema. Sikuwahi kukutana naye tena baada ya kujifungua na sijui yuko wapi. Natumai popote alipo anazidi kubarikiwa sana.
Nani alikutendea wema kwenye kipindi chako cha uhitaji hautakuja kumsahau?
Agiza si utaniMama mchunga naagiza bia halafu sitaki utani🤗
Nyau wewe ,kilaini chochote kinachoweza kunifanya kujua mtoto yupoje ninaingiza , ili mradi kikupe utulivu wewe kama mama mtoto na mkunga ninaekuhudumia😊Mkipima njia huwa mnaingiza vidole au kiganja chote?
Tuma hiyo pesa kwanza mama mchunga😄😄Agiza si utani
Natuma wapi sasa utafikiri A/CTuma hiyo pesa kwanza mama mchunga😄😄
Ukiingiza kichwa ndo itakua poa ili njia utanue.Nyau wewe ,kilaini chochote kinachoweza kunifanya kujua mtoto yupoje ninaingiza , ili mradi kikupe utulivu wewe kama mama mtoto na mkunga ninaekuhudumia😊
Jitumie wewe ila ushahidi weka hapa kwa niaba yangu😁Natuma wapi sasa utafikiri A/C
zako nazijua
Nyau wewe ,kilaini chochote kinachoweza kunifanya kujua mtoto yupoje ninaingiza , ili mradi kikupe utulivu wewe kama mama mtoto na mkunga ninaekuhudumia😊
Kabisa ngono ina mchongo mkubwa kwenye urahisi kwa kujifungua.Ukiingiza kichwa ndo itakua poa ili njia utanue.
Hii inamaana gani kwann nijitumie mwenyeweJitumie wewe ila ushahidi weka hapa kwa niaba yangu😁
Khaaa! Kuingiza kichwa ndo ngono?🤔Kabisa ngono ina mchongo mkubwa kwenye urahisi kwa kujifungua.
Kwa mama zetu wa kimatumbi sijajua hilo wala sijaona toka nipo makole pale dodoma.Hiv ni kwann wamama wengi wakitoka kupima njia huwa wanalia sana na wengine hadi damu kwani huwa mnawafanya nin au mnawafinya🤣🤣🤣
Kwanini damu zinatoka?Hiv ni kwann wamama wengi wakitoka kupima njia huwa wanalia sana na wengine hadi damu kwani huwa mnawafanya nin au mnawafinya🤣🤣🤣