Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

Baada ya kusoma title nikadhani negative, nimeandaa povu la kumshushia daktari kwa kumfanyia aunt wangu kumbe ni wema afadhali!

Azidi kubarikiwa daktari abarikiwe sana more life and more blessings, kanikumbusha The Good Doctor.
 
Ni wema mpwa 😅😅😅!

The Good doctor 😍, I love Shaun.
Nimeacha kuangalia Lea alivyopata miscarriage. It became too much for me 😅
 
Noooo nakataa labda serikali inapitisha watu wajinga na malimbukeni🤔
Unakataa nin baba mchunga watu wanapimwa kavu kavu jaribu kukaa na wamama uaikilize story zao ni huruma
 
Ukibarikiwa kuhudumu katika fani ya ndoto yako, mara nyingi matokeo huwa yanaacha alama.

Kuna couple niliihudumia some years back, saizi tumekuwa familia, wananiita Kaka.

Tunapigiana simu mara kwa mara, kujuliana hali, kutembeleana, kushirikishana fursa and the likes.

Inapendeza sana ukiifanya kazi yako with compassion. Mara zote tuwe of service orientation.
 
Alikuelewa.
 
Ni kweli kabisa, compassion mtu akiwa vulnerable inaacha alama kubwa sana.
Tunawashukuru for your service!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…