Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

Ni kweli kabisa, compassion mtu akiwa vulnerable inaacha alama kubwa sana.
Tunawashukuru for your service!
Naam, kila mtu, kwa nafasi yake, popote pale ulipo, tenda kama vile ungependa utendewe wewe ama ndugu/mwenza/mtoto/rafiki yako wa karibu.

Vulnerability inapaswa kuwa drive ya kukufanya kuwa makini zaidi, isichukuliwe for granted. Nakupongeza sana kwa kuthamini kile ulichofanyiwa wakati ulipokuwa on the edge of the corner.
 
May be he was an angel in human form.
 
Mwenzako alikua anafanya kazi ya kuandaa report yake ale marks wewe unasema moyo waa kujitoa wakati umemkuta mtu yupo field hivi unaelewa nini maana ya field? Mafunzo kwa vitendo
Hata kama. Kwani ni yeye tu anaye fanya field? Mbona wengine wakiwa hiyo field wanafanya vitu vya hovyo. Acha kijana apewe sifa na shukran anazostahili. Bahati mbaya hakutajwa jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…