Sitakuoa kwa sababu ninakupenda bali kwa sababu unastahili kuolewa na Mimi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI.

Anaandika, Robert Heriel.

Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda ni maamuzi ya mtu binafsi. Moyo unaweza kupenda lakini ukauzuia na ukatili. Ukiweza kuuamrisha moyo basi umeyaweza Mapenzi.

Naweza kumuoa yule ambaye nilikuwa simpendi ikiwa anastahili kuolewa na Mimi. Ninao uwezo wa kuuamrisha moyo upende kile ulichokuwa haupendi na ukapenda.

Taikon na watu wa Aina yangu, tunaoa wanaostahili na hatuoi Kwa kufuata hisia na matamanio ya mioyo yetu.

VIGEZO kwetu ndio muhimu, anayestahili kuolewa nami nitamuoa. Siwezi kukuoa kisa umependelewa na moyo wangu wakati hauna vigezo. Hilo kamwe halitokaa litokee.

Binti Mzuri, anatabia njema, anamcha Mungu, ananipenda, anajitutumua na kuhakikisha ninakuwa Mume wake, anakuwa upande wangu na kunisapoti kila nikifanyacho, alafu ati nimuache binti huyo kisa moyo haumtaki, labda sio Mimi.

Alafu ati nihangaike na kabinti mshenzi ambako kapokapo,
Hakana tabia njema,
Hakanipendi ati mpaka nikafuate fuate na kujikomba komba Kama Paka,
Ati Mimi ndiye nijitutumue wakati kenyewe hakanihitaji, Dooh! Labda sio Mimi Taikon.

Vijana nisikieni Mimi Taikon, Ukitaka uyaweze mapenzi, basi mpe moyo wako mtu anayestahili kupewa na sio ufuate mihemko na hisia zako.

Mapenzi ni Kama mechi ya ushindani, wewe ndio Refa, kamwe usimpendelee mtu ambaye hastahili. Hata kama moyo wako ulikuwa upande Fulani. Mwenye vigezo vya kuwa Mke mpatie maisha yako.

Ukomavu ni pamoja na kujua namna ya kujidhibiti, kutenda haki, kuyapa maisha yako kile yanachostahili na sio kile utakacho.

Asiyekuhitaji usimhitaji. Hata kama moyo wako unakudanganya unamhitaji,
Asiyekupenda usimpende, hata kama moyo wako unakudanganya unampenda,
Moyo ni mdanganyifu, usikuingize mkenge.

Ukiweza kutumia kanuni hiyo itakusaidia baadaye,
Hakuna mwanamke atakayekupelekesha,
Hutokuwa mtumwa wa mtu,
Siku mwanamke akizingua unauwezo wa kumuacha kwani amepoteza vigezo na haukumpendelea, lakini kama ulimpendelea kwa kufuata moyo wako nakuhakikishia utakunya mavi.

Yaani uache mwanamke anayekupenda, na kujitoa kwako kisa moyo wako😀😀. Tumia Akili.
Ndio baadaye unakuja kulia Lia Kama Mpumbavu kazi kusumbua watu.

Nitakuoa Kwa sababu unastahili kuwa Mke wangu. Kisha nitauamrisha Moyo wangu Ukupende na utafanya hivyo.

Sipokei amri kutoka moyoni, Bali Mimi ndiye Natoa amri ya nini moyo upende.

Sipokei amri kutoka katika Nafsi yangu ya nini niamini Bali Mimi ndiye naiamrisha Nafsi yangu kile ninachotaka iamini.

Hivyo ndivyo namna ya kuishi maisha ya furaha na Amani.

VIGEZO na Masharti kuzingatiwa!
Ukishatimiza vigezo na masharti ndio Taikon atakupenda, na sio nikupende kisa nimekuona tu umzuri, sijui unashepu, sijui unatembea kwa madoido. Never!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Nakubali nakubali Taikon,

Hakika wewe ni Mwamba wa Fasihi.
 
“sipokei amri kutoka moyoni, Bali Mimi ndiye Natoa amri ya nini moyo upende”

Asee dadii hapa umemaliza, hakika kwa uzi huu leo namuacha demu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI.

Anaandika, Robert Heriel.

Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda ni maamuzi ya mtu binafsi. Moyo unaweza kupenda lakini ukauzuia na ukatili. Ukiweza kuuamrisha moyo basi umeyaweza Mapenzi.

Naweza kumuoa yule ambaye nilikuwa simpendi ikiwa anastahili kuolewa na Mimi. Ninao uwezo wa kuuamrisha moyo upende kile ulichokuwa haupendi na ukapenda.

Taikon na watu wa Aina yangu, tunaoa wanaostahili na hatuoi Kwa kufuata hisia na matamanio ya mioyo yetu.

VIGEZO kwetu ndio muhimu, anayestahili kuolewa nami nitamuoa. Siwezi kukuoa kisa umependelewa na moyo wangu wakati hauna vigezo. Hilo kamwe halitokaa litokee.

Binti Mzuri, anatabia njema, anamcha Mungu, ananipenda, anajitutumua na kuhakikisha ninakuwa Mume wake, anakuwa upande wangu na kunisapoti kila nikifanyacho, alafu ati nimuache binti huyo kisa moyo haumtaki, labda sio Mimi.

Alafu ati nihangaike na kabinti mshenzi ambako kapokapo,
Hakana tabia njema,
Hakanipendi ati mpaka nikafuate fuate na kujikomba komba Kama Paka,
Ati Mimi ndiye nijitutumue wakati kenyewe hakanihitaji, Dooh! Labda sio Mimi Taikon.

Vijana nisikieni Mimi Taikon, Ukitaka uyaweze mapenzi, basi mpe moyo wako mtu anayestahili kupewa na sio ufuate mihemko na hisia zako.

Mapenzi ni Kama mechi ya ushindani, wewe ndio Refa, kamwe usimpendelee mtu ambaye hastahili. Hata kama moyo wako ulikuwa upande Fulani. Mwenye vigezo vya kuwa Mke mpatie maisha yako.

Ukomavu ni pamoja na kujua namna ya kujidhibiti, kutenda haki, kuyapa maisha yako kile yanachostahili na sio kile utakacho.

Asiyekuhitaji usimhitaji. Hata kama moyo wako unakudanganya unamhitaji,
Asiyekupenda usimpende, hata kama moyo wako unakudanganya unampenda,
Moyo ni mdanganyifu, usikuingize mkenge.

Ukiweza kutumia kanuni hiyo itakusaidia baadaye,
Hakuna mwanamke atakayekupelekesha,
Hutokuwa mtumwa wa mtu,
Siku mwanamke akizingua unauwezo wa kumuacha kwani amepoteza vigezo na haukumpendelea, lakini kama ulimpendelea kwa kufuata moyo wako nakuhakikishia utakunya mavi.

Yaani uache mwanamke anayekupenda, na kujitoa kwako kisa moyo wako[emoji3][emoji3]. Tumia Akili.
Ndio baadaye unakuja kulia Lia Kama Mpumbavu kazi kusumbua watu.

Nitakuoa Kwa sababu unastahili kuwa Mke wangu. Kisha nitauamrisha Moyo wangu Ukupende na utafanya hivyo.

Sipokei amri kutoka moyoni, Bali Mimi ndiye Natoa amri ya nini moyo upende.

Sipokei amri kutoka katika Nafsi yangu ya nini niamini Bali Mimi ndiye naiamrisha Nafsi yangu kile ninachotaka iamini.

Hivyo ndivyo namna ya kuishi maisha ya furaha na Amani.

VIGEZO na Masharti kuzingatiwa!
Ukishatimiza vigezo na masharti ndio Taikon atakupenda, na sio nikupende kisa nimekuona tu umzuri, sijui unashepu, sijui unatembea kwa madoido. Never!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mercii Sana

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
asante kwa uzi bora kabisa wa week
 
Binadamu Ni hisia..kumpenda au kutompenda Ni jambo la wakati...
Jipe muda usiogope kukosea
 
Back
Top Bottom