isaacklawa01
Member
- Aug 30, 2014
- 57
- 107
Kongole Taikon wa fasihi[emoji122][emoji122]...Kama kawaida hujawahi kuniangusha kwenye maandiko yako_Aisee uendelee KUISHI!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa cha habari tuu.. kimejitosheleza nitarudiSITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI.
Anaandika, Robert Heriel.
Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo.
🤣🤣😜Wanawake watakomenti kweli!?
Uzi bora KABISA!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Hii nondo inachoma kinoma!
Umeandika kitu kizito sana, binafsi sitii neno........
Moja kati ya nyuzi bora kabisa za mwaka huu ni huu wa kwako........
Katika kitu ambacho namshukuru Mungu na ni moja ya neema kubwa aliyonipatia ni kunipa mke anayenipenda na kunihitaji!! Sikumfuata wala kumtongoza ila alinitafuta mimi na kueleza hisia zake kwangu !! She really loves me, thanx God for that blessing.
Funzo kwa vijana, don't ever chase a woman, let her chase you!! You will enjoy the life.
Mtangulize Mungu ktk dua na sala zako na muombe akuruzuku mke mwema, hakika hakuna raha na starehe kwa mwanaume kama kumpata mke mwema.
Mke mwema atakupenda,atakutii, atakuheshimu na atakulindia mali zako pindi wewe haupo.