Sitakusahau Morogoro Msamvu

Mkuu haya mambo yalimuaibisha
mwenzetu ughaibuni,ila yeye alitaka
kumtapeli yule binti kumbe nchi za watu
umalaya ni halali na wanalipa kodi
polisi walipokuja wakataka kumweka ndani
jamaa ikabidi asaidiwe kiasi kilichopungua.

Kama ulikuwa na fedha kwa nini
uliona 30000/= ni bora kuliko
heshima yako? au ulishakunywa
zote ukabakiza ya kuhonga kumbe
mwenzio kaamua kuongeza dau
 
Yani watu wengine wanafanya jf ni ramli sasa sisi tutajuaje kama boss wako hatakupa tens trip za mikoani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inapendeza sana
 
usilale na changudoa kamwe labda uwe umelala mchana kutwa na hauna usingizi,na hela utenganishe ukiwa nao
 
Masue 1 ,

Haa haaa haaa haaa, nacheka kama vile ni mazuri uliyoyafanya.

Hakika, ningekuwa Boss wako ningekuwasha vibao viwili vya kibabe mbele zake kisha namlipa huyo manzi wa uzinzi wako halafu safari na trip vingeishia hapo na kukupa nauli urudi head office.
 


Bujibuji,

Nimecheka aiseeeeh, hii aya ya mwisho kwenye ulimwengu usiooneka nawe unaliwa 0713.

Duuuuuuh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu juzi hapa alisema mwanaume akiwa na nyege anakuwa na akili....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ona sasa!
Cc: espy
 
Kulala na changu mpaka asubuhi kunahitaji ujasiri mnooo..
Unataka kuvumbua nn.. Piga kimoja aondoke..
RAIA MNA roho ngum sana
 
Yamkin bosi kakuelewa vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…