Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana situmiagiKwani ulikula kitu "tigo"...?
Yani watu wengine wanafanya jf ni ramli sasa sisi tutajuaje kama boss wako hatakupa tens trip za mikoaniWadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.
Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.
Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inapendeza sanaWadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.
Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.
Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana
Yamkin bosi kakuelewa vzurWadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.
Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.
Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Msamvu hakuna bei hiyo..labda useme elfu saba tu(7000)
HahahhaaaaKulala na changu mpaka asubuhi kunahitaji ujasiri mnooo..
Unataka kuvumbua nn.. Piga kimoja aondoke..
RAIA MNA roho ngum sana
Aisee vip stori nq boss iliishajeHahahhaaaa