Pre GE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Unknown2

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
2,352
Reaction score
5,055
Wakuu, heshima kwenu!

Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.

Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.

Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.

Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.

Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.

Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.

Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
 
Mkuu,

Zile koroshow za Magufuli na ununuzi wa wanasiasa wa upinzani, na utekaji wa watu, ndiyo unaita uzalendo?
 
Halafu maamuzi yako ya kumkataa nchimbi sio mabaya, maana una haki ya kutoa maoni na kuchagua.

ila Kumbuka nchi Ina watu zaidi ya milioni 1, vipi hao walio baki?
 
Wakuu, heshima kwenu!

Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.

Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.

Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.

Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.

Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.

Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.

Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
Wenye akili tumekuelewa Mkuu!
 
Kumbe Kuna aina fulani uki ongea, una onekana mzalendo!.

Kuongea ni Sanaa tu, script Ina chorwa wewe una onyeshwa hisia unazo taka kuziona.

njoo huku tuku fundishe jinsi ya kulia, bila vitunguu!
Siyo kweli ...uongeaji feki unajulikana na uongeaji halisi kutoka moyoni unajulikana labda wewe uwe mwanamke au uwe na qkili sawa na mwanamke ndiyo utashindwa kutambua ...kwa sababu mwanamke yoyote huwa awezi kutambua kauli feki za kinafiki ...mfano mbowe ...mbowe ni muhuni tu moja kwa moja ...rostam azizi kikwete ...Nape...mpu?mb$avu zitto kabwe ...sugu ....boni yai nk hao ni baadhi tu ya makanyanga bila ya kumsahau Samia bushiri.
 
This logical fallacy is called non sequitur.

Nakuuliza kuhusu koroshow, ununuzi wa wapinzani na utekaji, hujibu uliloulizwa, unajibu ambacho sijakuuliza.

Umeshindwa kujibu ulichoulizwa?
Hivi mkuu kila post yako ipo na neno hilo, ina maana hauna neno jingine au ni medula kufail kufikiria zaidi masta?
 
Hapana.

Ina maana Watanzania wengi wanafanya hiyo logical fallacy na kuirudiarudia.

Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.

Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.

You are an incurious country bumpkin.
 
Mkuu,

Zile koroshow za Magufuli na ununuzi wa wanasiasa wa upinzani, na utekaji wa watu, ndiyo unaita uzalendo?
Alimteka Mama yako ? vp umesalimika na Operation za Trump. Mbeba Box ?
 
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem fallacy occurs when one does not address the points raised, but focuses on assassinating the character of the person raising the point.

Dialogist Ona logical fallacy tofauti na non sequitur hii.
 
Back
Top Bottom