Pre GE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana.

Ina maana Watanzania wengi wanafanya hiyo logical fallacy na kuirudiarudia.

Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.

Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.

You are an incurious country bumpkin.
Bro unaweza tu kuandika kwa lugha rahisi kabisa, kwamba "changamoto ya kiujumbe husika au kukosa mantiki" labda kusema inayokosa mtiririko unaoutaka wewe sasa... sio kukariri neno hilo hilo kila post. We are tired of you..

Gadrmn
 
This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem fallacy occurs when one does not address the points raised, but focuses on assasinating the character of the person raising the point.

Dialogist Ona logical fallacy tofauti na non sequitur hii.
Daaah ngoja nikuache tu😀😀
 
Bro unaweza tu kuandika kwa lugha rahisi kabisa, kwamba "changamoto ya kiujumbe husika au kukosa mantiki" labda kusema inayokosa mtiririko unaoutaka wewe sasa... sio kukariri neno hilo hilo kila post. We are tired of you..

Gadrmn
Kama umenichoka nipeleke ignore list hutaona kabisa ninachoandika.

Mimi nakuweka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.

When you have to shoot, shoot. Don't talk.

View: https://youtu.be/vKGmBYv09jQ?si=tbxfbs6wOXrrnsCy
 
Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.

Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.

You are an incurious country bumpkin.
nime cheka Sana, yaani una muita mwenzio incurious country bumpkin 🤣🤣🤣.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.

Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.

Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.

Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.

Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.

Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.

Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
sitasahau nchimbi akiwa waziri wa mambo ya ndani askari polisi alimtoa utumbo mwandishi wa habari mwangosi kule iringa,sasa akiwa rais tutegemee vifo vingi kwa wanaompinga mambo yake
 
Kama umenichoka nipeleke ignore list hutaona kabisa ninachoandika.

Mimi nakuweka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.

When you have to shoot, shoot. Don't talk.

View: https://youtu.be/vKGmBYv09jQ?si=tbxfbs6wOXrrnsCy

the only way you can be stopped, is through 🤣🤣🤣
FB_IMG_17387810277890482.jpg
 
Wakuu, heshima kwenu!

Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.

Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.

Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.

Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.

Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.

Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.

Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
acheni kubashiri.
 
Huna nmna labda ufe au uhamie Burundi, Emmanuel Nchimbi ndiye Rais ajaye 2030
 
Baada ya kifo cha Magufuli..Kigogo2014 alimtabiria Nchimbi kuwa makamu wa Rais...Siri hii ikavuja...
Samia akalazimika kumteua Dr Mpango ambae hakuwa chaguo Lake......hapa najaribu kuunganisha matukio..

Tabiri za Kigogo zikaanza kupoteza mvuto kuanzia hapo...kumbe kigogo was right.

Baadaye tena tukaanza kupewa fununu na kigogo huyohuyo....kwamba Nchimbi anakuja kujaza nafasi ya Bashiru; Ukatibu mkuu wa CCM...wakati huo Nchimbi ni balozi wa Tanzania huko brazili..
Samia kuona hivyo akaharamisha bet ya kigogo kwa kumteua Chongolo...ambaye nafikiri naye hakua chaguo lako.

Siku zimeenda, hatimaye unabii wa kigogo umedhihirika...Nchimbi kwa katibu wa CCM....na baadae makamu wa Rais ili neno la kigogo litimie.

Sasa najiuliza, je Nchimbi ni chaguo la samia...au ni chaguo la state?

Magufuli aliwahi kutuambia kwamba; mara tu baada ya kupitishwa na CCM 2015 aliletewa majina ya wazanzibar (hakutueleza idadi) ili achague atakae kuwa mgombea mwenza.
Katika orodha ile alikuwemo Mwinyi, Samia na wengine japo sijui idadi..
Magufuli akamchagua Samia.

Sasa je mchakato uleule uliotumika kumchagulia Mgombea Magufuli majina ya running mates...ulitumika pia kwa Samia?
Kama ndivyo ni akina nani hao wanaompelekea mgombea Urais mapendekezo?
Na je kuna sheria inayom-bana Mgombea Uraisi kuto-toka nje ya options anazoletewa?
Hebu mwny uzoefu tusaidiane jamani.
 
Siyo kweli ...uongeaji feki unajulikana na uongeaji halisi kutoka moyoni unajulikana labda wewe uwe mwanamke au uwe na qkili sawa na mwanamke ndiyo utashindwa kutambua ...kwa sababu mwanamke yoyote huwa awezi kutambua kauli feki za kinafiki ...mfano mbowe ...mbowe ni muhuni tu moja kwa moja ...rostam azizi kikwete ...Nape...mpu?mb$avu zitto kabwe ...sugu ....boni yai nk hao ni baadhi tu ya makanyanga bila ya kumsahau Samia bushiri.
You made my day🤣🙌
 
Wakuu, heshima kwenu!

Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.

Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.

Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.

Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.

Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.

Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.

Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
Sema mama Samia kumpendekeza nchimbi kafanya kosa la kiufundi maana huyo jamaa ni mtu mwenye tamaa sana na mipango ya muda mrefu sana
 
Baada ya Mh. Dr Samia, CCM itamchagua mgombea Urais ambaye tayari nyota njema inamuelekea.
 
This logical fallacy is called non sequitur.

Nakuuliza kuhusu koroshow, ununuzi wa wapinzani na utekaji, hujibu uliloulizwa, unajibu ambacho sijakuuliza.

Umeshindwa kujibu ulichoulizwa?
Unaulizwa kuhusu kifo cha Ally kibao
 
Back
Top Bottom