Bro unaweza tu kuandika kwa lugha rahisi kabisa, kwamba "changamoto ya kiujumbe husika au kukosa mantiki" labda kusema inayokosa mtiririko unaoutaka wewe sasa... sio kukariri neno hilo hilo kila post. We are tired of you..Hapana.
Ina maana Watanzania wengi wanafanya hiyo logical fallacy na kuirudiarudia.
Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.
Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.
You are an incurious country bumpkin.
Daaah ngoja nikuache tuππThis logical fallacy is called ad hominem.
An ad hominem fallacy occurs when one does not address the points raised, but focuses on assasinating the character of the person raising the point.
Dialogist Ona logical fallacy tofauti na non sequitur hii.
Kama umenichoka nipeleke ignore list hutaona kabisa ninachoandika.Bro unaweza tu kuandika kwa lugha rahisi kabisa, kwamba "changamoto ya kiujumbe husika au kukosa mantiki" labda kusema inayokosa mtiririko unaoutaka wewe sasa... sio kukariri neno hilo hilo kila post. We are tired of you..
Gadrmn
Acha povu wewe.. don't put seriousness hapa JF masta, you have lots of stuffs to accomplish.. ππKama umenichoka nipeleke ignore list hutaona kabisa ninachoandika.
Mimi nakuweka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.
When you have to shoot, shoot. Don't talk.
View: https://youtu.be/vKGmBYv09jQ?si=tbxfbs6wOXrrnsCy
Mkuu,Kumbe Kuna aina fulani uki ongea, una onekana mzalendo!.
Kuongea ni Sanaa tu, script Ina chorwa wewe una onyeshwa hisia unazo taka kuziona.
njoo huku tuku fundishe jinsi ya kulia, bila vitunguu!
nime cheka Sana, yaani una muita mwenzio incurious country bumpkin π€£π€£π€£.Ningeona una hoja muhimu sana kama ungeuliza non sequitur ni nini na kwa nini niliyemjibu amefanya non sequitur.
Lakini huna hata akili ya kuuliza hivyo.
You are an incurious country bumpkin.
sitasahau nchimbi akiwa waziri wa mambo ya ndani askari polisi alimtoa utumbo mwandishi wa habari mwangosi kule iringa,sasa akiwa rais tutegemee vifo vingi kwa wanaompinga mambo yakeWakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.
Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.
Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.
Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.
Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.
Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
the only way you can be stopped, is through π€£π€£π€£Kama umenichoka nipeleke ignore list hutaona kabisa ninachoandika.
Mimi nakuweka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.
When you have to shoot, shoot. Don't talk.
View: https://youtu.be/vKGmBYv09jQ?si=tbxfbs6wOXrrnsCy
acheni kubashiri.Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.
Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.
Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.
Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.
Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.
Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
That's what he is though.nime cheka Sana, yaani una muita mwenzio incurious country bumpkin π€£π€£π€£.
mimi ni raisi wa ma jobless pro max tu, hayo madini naya tolea wapi ππ€£Mkuu,
Upo vizuri kwenye politics... naona madini tupu.
Huna nmna labda ufe au uhamie Burundi, Emmanuel Nchimbi ndiye Rais ajaye 2030Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.
Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.
Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.
Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.
Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.
Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
Mtoa mada watu hawajamuelewa...
Mtoa mada kwa kifupi anatoa code ya siri ..ila watu hawaoni
Mimi natambua madini maana nakufuatilia kwa ukaribu Sanaa.mimi ni raisi wa ma jobless pro max tu, hayo madini naya tolea wapi ππ€£
You made my dayπ€£πSiyo kweli ...uongeaji feki unajulikana na uongeaji halisi kutoka moyoni unajulikana labda wewe uwe mwanamke au uwe na qkili sawa na mwanamke ndiyo utashindwa kutambua ...kwa sababu mwanamke yoyote huwa awezi kutambua kauli feki za kinafiki ...mfano mbowe ...mbowe ni muhuni tu moja kwa moja ...rostam azizi kikwete ...Nape...mpu?mb$avu zitto kabwe ...sugu ....boni yai nk hao ni baadhi tu ya makanyanga bila ya kumsahau Samia bushiri.
Sema mama Samia kumpendekeza nchimbi kafanya kosa la kiufundi maana huyo jamaa ni mtu mwenye tamaa sana na mipango ya muda mrefu sanaWakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa kukosa uzalendo.
Karata ya CCM 2015 ilikuwa nzuri, pengine kuliko zote baada ya ya Nyerere. Magufuli did the best, alijitoa kwa mwili na roho. Alichopungukiwa ni kutojua namna ya kuishi na mabepari, akawa mjamaa kupitiliza.
Nchi yetu sasa inahitaji Rais aina ya Magufuli, mzalendo wa kweli na jasiri. Mjamaa lakini mwenye kujua namna ya kuishi na mabepari.
Tunao watu wengi, ambao hata wakiongea unausikia uzalendo ndani ya sauti zao.
Ukiacha ile kufanya kazi kwa maelekezo ambapo hutakiwi kumkatalia wa juu yako zaidi ya kumshauri, nauona uzalendo wa kweli ndani ya Humphrey Polepole, Dk Bashiru, Tundu Lisu lakini pia hata Luhaga Mpina. Hawa ni baadhi ya watu ambao wakiandaliwa vizuri wanaweza kutufikisha.
Natamani baada ya Samia anayefuata atoke team uzalendo na sio zile team.... sijui team Lowasa nk. Mambo ya Mwitongo tuyaweke pembeni kwanza.
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moto wote!
Unaulizwa kuhusu kifo cha Ally kibaoThis logical fallacy is called non sequitur.
Nakuuliza kuhusu koroshow, ununuzi wa wapinzani na utekaji, hujibu uliloulizwa, unajibu ambacho sijakuuliza.
Umeshindwa kujibu ulichoulizwa?