Pre GE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
So what?
 
Ukweli mtupu
 
Jiandae kisaikolojia, don't commit suicide when reality hits your face
 
๐Ÿผ

Gaza inachukuliwa na Trump kimangungu
Halafu mnatwambia mambo ya demokrasia....na mambo ya UN charter!!! Mtu anatangaza naichukua Panama canal, anaichukia Greenland, anaichukia Canada na Sasa Gaza...!UN ipo kimya!! Kuna kitu hapo..?
 
Kitu ambacho sitamani ni kulala usingizi lakini sina ujanja wa kuuzuwia.
 
Halafu mnatwambia mambo ya demokrasia....na mambo ya UN charter!!! Mtu anatangaza naichukua Panama canal, anaichukia Greenland, anaichukia Canada na Sasa Gaza...!UN ipo kimya!! Kuna kitu hapo..?
Mwalimu alishindwa kuichukua Zanzibar ๐Ÿ˜‚
 
Matatizo ya akili yalikuanza ukiwa mtoto inaonyesha!
Ungetibiwa toka utoto ungepona, anyway Kalale kichwa kipoe!
 
Hakuna cha mzalendo wote ni wachumia tumbo
 
Halafu mnatwambia mambo ya demokrasia....na mambo ya UN charter!!! Mtu anatangaza naichukua Panama canal, anaichukia Greenland, anaichukia Canada na Sasa Gaza...!UN ipo kimya!! Kuna kitu hapo..?

Dunia ya tawala za sheria za kujitungia wanaadam haijawahi kuwa na haki.

Kumbuka hilo.
 
Kiongozi wa nchi hadi Mungu aridhie. Asiporidhia hata awe na mabilioni namna gani hapati. Rais wa nchi hii mwaka 2015 alikuwa awe Mhe. Edward Ngoyai Lowasa lakini kuna dhambi alifanya ikam cost! Na Mungu anafahamu kiongozi tunayemhitaji kwa wakati gani. Sisi tumwombe Mungu!
 
Kila nikiangalia naona vijana wengi wenye 30 ndio wanaoweza kuongoza nchi.

Nape,mwigulu,januari,Nyalandu hawa wote hawana vigezo vyangu.

Tuliombee Taifa letu.
Ukombozi unakaribia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ