Uchaguzi 2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

Yako wewe nai replace na ya kwangu so hajapoteza bado kajipange upya na propaganda zako za kujamba jamba.
 
Akiandika ukweli ule mchungu ukawii kulaumu, napata wakati mgumu kujua wafuasi wa upinzani wanasimamia wapi linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi na yenye tija kwa vizazi vijavyo
Shida kubwa ya ninyi wanaCCM ni kujifanya ni wazalendo sana au wazalendo pekeenu wakati hata uongozi tu mnanunua kwa rushwa! Rushwa ni adui na dhuluma ya haki! Je hapo uzalendo uko wapi?? Je maslahi mapana ya Taifa letu mmeyazingatia vipi????
 
Naumia Sana mimi mlipakodi ninapoona raisi anachezea hazina yetu.
Ujinga, ubinafsi, ushamba Sasa baaaasi!
Kwa bahati mbaya una miaka mingine mitano zaidi ya kuumia iwapo atakataa kuongezewa muda itakapofika 2025
 
Shikamoo Mzee Vuta Nkuvute
 
Unafiki haujauanza leo. Kwendraaa. Sisi tutampa kura zote
 
Endelea kushupaza shingo hadi ivunjike.
 
Wapiga dili mmevumilia mpaka mmeona mtoe povu. Mlizoea kuzichota, sasa hamna mwanya mnatapatapa.

Kura yako hiyo moja haiwezi kumnyima ushindi. Kwanza inaweza kuwa ni kati ya zile zinazoharibika.
Jidanganyeni tu
 
Hongera kwa kujiondoa katika kundi la wasiojitambua! Mtu unatukanwa na kudhalilishwa na akina Musiba alafu ukilalamika unaambiwa wewe ndio una makosa unatakiwa ukapige magoti kuomba radhi! Watu mnampigania mtu anapata madaraka ambayo hata hakuwahi kuota kuyapata , alafu baadaye anawageuzia kibano mnatishiwa Bastola mchana kweupe alafu unaendelea kumpigia kura! Nawapongeza sana Lazalo Nyalandu na Benard Membe, hawa ni wanaCCM mashujaa wa zama za ukandamizaji wa demokrasia! Nayakumbuka maneno ya Membe......Better to die standing than to live on knee! -(Bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti)
 
Sasa kama zile mlizokuwa mnazila hapo Lumumba kazichukua zote si lazima uumie, pigia Lissu au Membe Mzee Tupatupa, wala usiwe na wasiwasi.

Go JPM, kura yangu unayo!!!
 
SIJAWAHI mpa kura......

Usichojua ni kwamba on 28th October 2020 another opportunity presents itself kwangu mimi kukata shingo yake kwa mwara ya pili!

I cant wait!
Hujawahi kumpa lakini bado AKAWA Rais wako.
Hongera kwa kujipa matumaini kuwa this time HATAKUWA, wakati wanaompa kura wanajadili kumshawishi 2025 akubali aendelee kuwa RAIS wako.
 
Ni hilo tu? Kumbe na wewe ni mweupe tu kama huyo aliyejaa vinasa sauti mwili mzima
 
Wapiga dili mmevumilia mpaka mmeona mtoe povu. Mlizoea kuzichota, sasa hamna mwanya mnatapatapa.

Kura yako hiyo moja haiwezi kumnyima ushindi. Kwanza inaweza kuwa ni kati ya zile zinazoharibika.
Tusizungumze kwa ushabiki. Mambo aliyoyazungumza Tupa Tupa ni ya msingi sana. Kiongozi wa nchi hastahili kuhodhi fedha za umma wala rasilimali za Taifa. Yeye ni msimamizi tu. Wenye fedha ni wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kumpa lakini bado AKAWA Rais wako.
Hongera kwa kujipa matumaini kuwa this time HATAKUWA, wakati wanaompa kura wanajadili kumshawishi 2025 akubali aendelee kuwa RAIS wako.
Sasa who cares nyie kumpa kura?

Ni haki yenu kumpa kama ilivyo haki yangu kutompa!

Sijakuingilia wewe kwa kumpa,cha ajabu unaniingilia mimi kwa kutompa,matusi yote ya nini kwangu na nime-exercise my freedom of choice?

Hajawa rais wangu,kawa rais wenu!

Moyoni kwangu sijamtambua,nyie mnamtambua,who cares?

Kwenye makaratasi kaandikwa ni Rais wa Tanzania,doesnt mean namtambua!

Mimi kumtambua au kutomtambua haiwaingilii kwa lolote,chapeni mwendo na majukumu yenu!

Mimi binafsi SIMPI kura,na sio kwamba waliompa mara ya kwanza watampa tena,hakuna guarantee hiyo,waache waamue,wao ndio wana maamuzi,ni ajabu wewe kukaa humu na kuwaaamulia!

Mimi binafsi najisemea kama mimi,,kwamba SIMPI kura yangu,,wananchi wengine wachague wanachokitaka,kama hutaki andamana!
 

Mangi salama

Sijui serikali hii ilikukosea nini? Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi hapa.


Kila jambo wewe huwa nikupinga na kuponda.

Unaboa sana, ningekuwa moderator nishachoma akaunti yako kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…