blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Walivyo waoga wamepunguza hadi vifurushi vya internet! yaani hii nchi inamajitu yaajabu kweli watu sisi vijana tumejiajiri kupitia internet chuki zao zakisiasa wanaumiza raia wasio na hatia! sasa wao bila kujali athari zake wao wanaona niheri kwao waendelee kushiba sisi tutajijua wenyewe. Alafu wakishiba utasikia serikali ya wanyonge inajali wanyonge, wanatusababishia umaskini ili waje watu joke??